Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ivunjwe na kuundwa upya

CC. @Mods:
Sasa huu uzi mmeumega kwasababu gani?
Au una uhusiano gani na kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu?
Kindly review for our own satsifaction on CHECK AND BALANCE rather than RECEIVE AND REPORT!
Wajumbe naamini hamjambo!
Baada ya kimya cha muda mrefu mimi Mzee wa Anecdote kutoka ukanda wa nyanda za juu kusini nina neno kwa wasaidizi wa Mkulu.

Kule Mwakaleli, Mbeya miaka 62 iliyopita kulikuwa na Mzungu mwenye asili ya Ujerumani aliyebatizwa kwa jina la Mwakapalila ambaye pia ndiye aliezeka kanisa la kilutheri lililopo katika mwambao wa milima ya Livingstone na hilo kanisa linafahamika kwa jina la Mwakaleli KKKT.

Mzungu huyo alikubali kuitwa Mwakapalila na hata kaburi lake ukitembelea eneo hilo la mission limeandikwa hivyo. Alikubali kwa malengo mawili makubwa.
Lengo la kwanza ni kuendana na mila za Wanyakyusa ambao waliamini sana kwenye utamaduni wa majina katika kuonyesha umoja na ushirika wa mtu katika jamii.

Lakini sababu ya pili, ni ile imani kwamba NAMNA HUELEKEZA MWISHO WA MTU.

Mjerumani yule hakuamini kama angekufa angerudishwa Ujerumani bali angezikwa Unyakyusani. Angezikwa na kuoza kama Wanyakyusa wengine licha ya kuwatawala Indirectly. Akakubali kuitwa Mwakapalila na katika ujenzi wa kanisa la KKKT Mwakaleli alipomaliza kuezeka aliteleza kutoka juu ya bati na kuanguka kisha akafa na kuzikwa kwa heshima zote za Kinyakyusa na mpaka leo kaburi lake linapaliliwa na kina mama wa Kinyakyusa na hutembelewa na Wamisionari wa Ulaya.

NAMNA ILIAMUA HATMA YA MWAKAPALILA KWASABABU FAMILIA ILIAFIKI.

Kwa yanayoendelea nchini, Familia ya mkulu haijishughulishi na namna anavyoenenda Mkulu ili kujua hatma ya afya yake.
Mkulu anatoa milioni tatu na kumpa mwanafunzi, kisha anamwambia KAMPE MWALIMU MKUU, UKAMWAMBIE AKILA HIZI HELA NAYE ATALIWA!

Mwanafunzi anafanya hivyo na kushangiliwa na wasio na hekima, WANAFAMILIA (TISS) hawaoni walakini wa kiafya katika kauli hizi?

Mkulu anaendelea na ziara anakutana na Mkurugenzi aliyekuwa akifanya kazi USA kabla ya kuteuliwa, anaambiwa mbele ya kadamnasi WEWE HUU UPUMBAVU NDO ULIKUWA UKIUFANYA MAREKANI?
Wanafamilia hawaoni udhaifu wa kiafya kwa cheo cha Mkulu katika kauli hizi?

Bado Mkulu anaingia kusini na kukutana na wenyeji mara unasikia NINYI NI VILAZA NA HUU UPUMBAVU MNAOUFANYA SIKUBALIANO NAO.KAMA MMEKULA BASI NANYI MTALIWA

Wanafamilia bado tu mnataka daktari awajulishe nini cha kufanya???

You need to be cautious and attentive all the time and you got a single interest...NATIONAL INTEREST!

Nakumbuka marehemu Mzee Apson Mwang'onda aliwahi kuniambia, "wananitizama vibaya wakisema nambeba Mwandosya lakini mie sipigi kura Mkutano mkuu, lakini sichukii ila najifunza kujari tuhuma nilizokuwa sizijali kabla"
Hiyo ilikuwa mwaka 2005 enzi hizo mie nimetoroka masomoni Zanzibar na kurudi Tukuyu kabla ya kutafutiwa chuo kingine bara.

Wanafamilia mnatakiwa mjifunze kujali tuhuma mlizozoea kuzipuuza ili kuepusha taharuki nchini.
Katika suala la usalama tunazingatia kanuni ya John Dewey mwanafalsafa na muasisi wa mfumo wa elimu wa Marekani kwamba, "LET US DOUBT EVERYTHING"

Kupitia mashaka tunajifunza vingi kuliko vile tunavyohisi tunavijua tukiwa na uhakika. Mkiona kauli tatanishi za Mkulu mna nafasi ya kutia shaka ya kiafya na kuelekeza medical check up kabla hajazidiwa.
Najua kuna wanafamili watakuja DM tafadhari soma mara mbili kabla ya kuja!

#THE MEANS JUSTIFIES THE END#
 
Hakuna watu wa ajabu kama watz. Sasa hv naelewa kwanini wanahitaji kuburuzwa. Its pathetic!
 
Kurugenzi ya ikulu haina kazi ya kujibu kila uzushi wa malofa chadema
Lofa katika ubora wako.
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
unataka hata Rais akiugua mafua uambiwe mkuu? wamefanya vizuri sana ili kuwaumbua watu kama nyie, hamhenda huko ujerumani kumsalimia?
Nimekuelewa vizuri, ingawa umeogopa kufunguka zaidi kwani utashambuliwa.
Nasisitiza haya yote yamesababishwa na ukimya wa kutokujua wafanyeje. Mbona mambo mengine hawakawii kujibu? Kwani kama aliugua kwa uchovu wangesema kulikuwa na shida gani?
 
Unamaanisha jiwe ajivunje mwenyewe maana ndo mwenye maamuzi yote anacho taka ndo kifanyike
 
Kiuhalisia imeshindwa kazi halisi ya yanayopaswa kufanywa na kurugenzi hiyo na kubaki kama idara ya itikadi na uenezi ya chama.

Tukio lililo ikumba nchi kwa siku tatu na kuleta tahayari na utengano lingeweza kuzuiwa kiweledi kama kurugenzi hiyo ingeamua kuilinda Ikulu na mambo ya aina hiyo, badala yake Mkurugenzi Gerson Msigwa anajiingiza naye kwenye mambo ya kivijembe vijembe kama watu wa mtaani.

Badala ya kuwa kitengo cha sifa na mapambio wanaweza kuingia deep zaidi kuisemea Ikulu na Urais kama taasisi kamili na yenye watu wengi muhimu na majukumu tofauti tofauti.

Hawabuni hata vipindi kufundisha vijana nini hasa mpangilio wa kazi ndani ya maeneo ya Ikulu na ofisi zake kiasi cha kuwavutia vijana kuja kufanya kazi Ikulu tofauti na sasa wanajua kuna Rais na kazi ni kuteua na kutumbua tuu.

Wakati huu ni muhimu kufanya mabadiliko kwani Msigwa inaonyesha sio size yake tena
Wawajibu wahuni wavuta bangi
 
Kiuhalisia imeshindwa kazi halisi ya yanayopaswa kufanywa na kurugenzi hiyo na kubaki kama idara ya itikadi na uenezi ya chama.

Tukio lililo ikumba nchi kwa siku tatu na kuleta tahayari na utengano lingeweza kuzuiwa kiweledi kama kurugenzi hiyo ingeamua kuilinda Ikulu na mambo ya aina hiyo, badala yake Mkurugenzi Gerson Msigwa anajiingiza naye kwenye mambo ya kivijembe vijembe kama watu wa mtaani.

Badala ya kuwa kitengo cha sifa na mapambio wanaweza kuingia deep zaidi kuisemea Ikulu na Urais kama taasisi kamili na yenye watu wengi muhimu na majukumu tofauti tofauti.

Hawabuni hata vipindi kufundisha vijana nini hasa mpangilio wa kazi ndani ya maeneo ya Ikulu na ofisi zake kiasi cha kuwavutia vijana kuja kufanya kazi Ikulu tofauti na sasa wanajua kuna Rais na kazi ni kuteua na kutumbua tuu.

Wakati huu ni muhimu kufanya mabadiliko kwani Msigwa inaonyesha sio size yake tena

Mkuu Msigwa hawezi kwenda kinyume na Boss wake
 
Kurugenzi ya ikulu haina kazi ya kujibu kila uzushi wa malofa chadema
Unasahau kuwa hata wanaccm wenye akili timamu (including myself) hawafurahishwi na siasa za kishamba za ccm hii ya awamu ya tano?
Wana ccm wajanja ni wachache wana support kwa sababu ya kimaslahi na hao ndio wanaogopa mzimu wa Membe kuleta mapinduzi ya ndani
 
yani kigogo ni muongo wa dunia kama mange tu na mwisho wao unakuwaga mbaya sana.
 
Back
Top Bottom