Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeshindwa kazi; yatumika kumhujumu Rais Kikwete

Si kwamba wako kwenye mgomo? ... Na adhabu yao?? Na wao wafikishwe kwenye ule msitu kuleee ... for teeth and nail extraction to put thing on straight line ... don't you think so??
 
yaani nishindwe kulala kwasababu ya taarab za J.K, come on...give me a break!! Hakuna kitu kipya huwa kinatokea after his talk the talk.
 
Kwa niaba ya Chama changu makini CCM naomba kuwataka radhi Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano mliokesha usku kucha kusubiri hotuba ya Mpendwa Rais wetu Mh Jakaya bila mafanikio hivyo naomba mtusamehe kwa uzembe uliofanywa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kwa kutokutoa Tangazo la Mh Kuhairisha kuhutubia Taifa siku ya tararehe 30/06/2012.

Kwa sisi wananchi na wapenzi makini wa Chama cha mapinduzi tunaona kuna uzembe wa hali ya juu uliofanywa na wasaidizi wa Rais na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kutokana na sakata hili ambalo hadi kufikia sasa bado wahajatoa kauli kwa vyombo vya habari ya kuhairishwa kwa hotuba ya Rais.

Kutokana na Rais kushindwa kuhutubia Taifa hapo jana baada ya Taarifa kuwa zimetolewa na Vyombo vya habari Wananchi wapo katika taharuki kubwa kwani hawajui kitu kinachoendelea na kitu kilichompata Rais Wetu hadi kufikia kushindwa kuhutubia Taifa.

Kwasasa Tunaitaka Kurugenzi ya Mawasilino Ikulu kuwajibika kwa kuupotosha Umma juu ya jambo hili nyeti kwa Taifa na aidha tunawataka kutoa tamko kwa vyombo vya habari na kuwaomba radhi wananchi wote waliokesha ucku kucha kusubiri hotuba ya Mpendwa wao Rais na kupelekea wengine kushindwa kwenda kwenye Ibada siku leo.

Heri yangu niliyeamua kukata tamaa mapema kuachana na TV maana nilijua hakuna cha zaidi pale kumbe hakutokezea ? Onyo la US na yeye ndiko anako shindia sasa itakuwaje ? US is about kutoa siri zaidi za uongozi na kuanza kuwa ban kuingia US kwa mambo yao kama huamini ngojea utaona
 
sijawah kufatilia hotuba za huyu prezidaa ila jana nilikaa na kusubiri kwa hamu sana kusikia ataongelea nini kuhusu dr Ulimboka na mgomo wa madaktari, NADHANI ALIOGOPA KULIKOROGA ZAIDI AKAINGIA MITINI
 
Mbona wewe na nape hamtofautiani kwa kutoa maagizo?

Wasipo omba radhi utawafanya nini?
Maana wale ni dhaifu hawawezi kuomba radhi?

Mbona unalazimisha kuwa watu walikesha ,wakati ulikesha peke yako!

Halafu kwa maelezo yako ina onekana hiyo hotuba ili kuwa ina wahusu wana ccm.
 
Ni aibu sana kwa Tanzania kuhusu suala la Iran!tumsubiri Membe kama ana jipya la kujikosha,njaa itaingia sasa hivi hapa na nchi itaparaganyika,usicheze na Marekani hata siku moja kwenye iSsue zao za usalama wa taifa lao na uchumi!
 
Sor am nt a politician bt If i culd b 2 hz pozshen.....i culd step down rght on tym mbona kwnye p.break madam prezdent alistep down 2 baada ya kuona thngs are hot.........ccm haz burried down by itself... .....nawasilisha...
 
naskia baada ya washauri wake kuipitia ile hotuba waliamua isirushwe maana ingeongeza chuki kwa wananchi.Content nzima ya hotuba ilikuwa ni kuhusu mgomo wa madaktari na mikwara ya 'Litakalokuwa na liwe'
 
Kweli sikuelewa kwa nini! Lakini kwa mara ya kwanza kwa kadri ninavyokumbuka, nilikaa muda mrefu sana nikisubiri Hotuba ya Raisi. Hata ilipofika saa 5.30 usiku nilishauriwa niende kulala lakini bado niliamini pengine ni vyombo vya habari vimechelewa kurusha na ni lazima vingerusha tu. Sijui nilitegemea nini kwenye hotuba ile. Nilipatwa mvuto na hamu ya ajabu, nikasubiri bila kujali usingizi ili mradi nimsikilize Raisi wangu. Lakini Raisi wangu- oh kumbe ni Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeninyima uhondo nilioutegemea! Basi na wajitokeze waseme SAMAHANI- ni neno moja tu na roho yangu itasafishika.

katika siku ulizo wai kuumwa basi hiyo jana ulikuwa una hali mbaya.
 
Kwa niaba ya Chama changu makini CCM naomba kuwataka radhi Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano mliokesha usku kucha kusubiri hotuba ya Mpendwa Rais wetu Mh Jakaya bila mafanikio hivyo naomba mtusamehe kwa uzembe uliofanywa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kwa kutokutoa Tangazo la Mh Kuhairisha kuhutubia Taifa siku ya tararehe 30/06/2012.

Kwa sisi wananchi na wapenzi makini wa Chama cha mapinduzi tunaona kuna uzembe wa hali ya juu uliofanywa na wasaidizi wa Rais na kurugenzi ya m
https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login
 
kwanini ameshindwa kuhutubia?
Ukiona hivyo hawana hata mpango. Wagonjwa mahospitalini waache wafe. Suala la Dr. Ulimboka mbona washasema liwalo na liwe. Wameiachia fate iongoze nchi. Wakati wa uchaguzi ndo huwa wanaona umuhimu wetu
 
Hapa ndipo ninapomkubali John John Mnyika... Aliamua kumvalisha paka kengele halfu huyu Emmy anaendelea na ngonjera zake za "Wasaidizi wa Rais". Mzembe na dhaifu ni yule aliyewateua na ndie anayepaswa kuwajibika. Si ajabu hajawaambia kwamba ameahirisha
 
Ni akina nani hao waliokesha usiku kucha kusubiri hotuba ya rais? Hivi ninyi CCM bado mnajipa matumaini kwamba watanzania wanakesha kusikiliza taarabu za Kikwete? Aluu, utakuwa ulikesha peke yako, mimi nililala zangu mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom