🤣Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hilo pia.
Kama mahusiano ya mkeo na familia yako si mazuri usirudi mkuu. Huko utaenda mtesa binti wa watu pamoja na watoto zakoNyumbani ni yupo mama na mdogo wangu tu.mzee alishatangulia mbele za haki.
Kiukweli bond ya mke na familia yangu si nzuri sana
Ila mpaka nimewaza hivyo nimeumia sana maji naona yapo shingoni.
Ila asante kwa ushauri wako mkuu
Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.
Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!
Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.
Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
Yep na pia mbeba maonoDAKTARI professor
🤣
Asante mkuu
"Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia"
MAAMUZI SAHII. MUHIMU JIPE MUDA WA KUISHI HAPO KWA WAZAZI ISIZIDI 2YRS. NI KIPINDI KIZURI KUIPIMA BIASHARA YK KM LENGO LAKO LITATIMIA.
Dada ninashida na wewe mno ndugu yangu najaribu kukucheki pm nashindwa pls naomba uni Pm wewe tafadhali ni issue sensitive mno jmnNimekuonea sana huruma n cha kuksaidia sina, ila jipe moyo Mungu atafanya
Gentleman,Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.
Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!
Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.
Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
WeeeeeDada ninashida na wewe mno ndugu yangu najaribu kukucheki pm nashindwa pls naomba uni Pm wewe tafadhali ni issue sensitive mno jmn
Usirudi nyumbani,fanya hivi:Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.
Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!
Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.
Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
Nikitaka kukushauri kupunguza gharama za matumizi lazima nianzie kwenye pango lakini kwa idadi ya watoto uliokuwa nao ni ngumu kuishi nao kwenye chumba kimoja.Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara mpaka nyumba ya kupanga ninayoishi,najiona nimekua na mzigo mkubwa wa kulipa kodi mpaka nashindwa fanya moves nyingine.
Nimewaza kitu ambacho sijui nitafikiriwa vipi na wanaonizunguka ila kwa upande wangu naona itakua ni ahueni!!
Nimewaza kuhama nilipopanga na nirudi nyumbani kwetu,kupunguza kodi moja na kuongeza nguvu kwenye biashara ili ni make at least na mie nijenge mji wangu,maana umri wazidi kimbia.
Naombeni ushauri wenu kama ninalowaza ni sahihi au si sahihi!!
AiseeYep na pia mbeba maono
Kama nafasi ipo na mkeo atakua na amani itakua jambo jema.Habari wana JF.