Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tofauti ipo katika kiwango chao cha unafiki, huyu bwana ni mnafiki zaidi ya shibuda.

Haka kajamaa zamani nilikuwa nakapenda kumbe masikini ufaham wangu ulikuwa mdogo sana wakati huo. keshapoteza hata sifa ya kuwa mbunge kwa sbb ya uroho wake wa madaraka na undumilakuwili na kujifanya yuko juu zaidi ya chama. Urais sahau kaka yangu Zitto aliyekudangaya kamwambie sisi vijana wenzio hatukuamini tena na kwa sasa huna mvuto kama alivyo mnyika,lissu na Mchungaji Msigwa. Eti rais? Wa aina ya Zitto? Kwa kura ya nani? kashauriane na Shibuda
 
Nadhani Zitto anajiharibia sifa kwa kuvimba kichwa na kukubali ushenzi huu unaoendelezwa na makundi 2, Waislam na CCM wakiwa na mbinu ya kipuuzi eti ya kuiua cdm kabla ya uchaguzi ujao, Mimi nap[endekeza sasa CDM watoe tamko juu ya upumbavu huu maana harakati za kulikomboa taifa hazihitaji upuuzi kama huu
 
Hii poll ina lengo la kumtukana Dr. Slaa!!

Mmepambanisha Zena(Zitto) na Undertaker(Slaa)!!

Mods, binafsi nisingependa kuona JF inakuwa sehemu ya chanzo cha migogoro ndani ya CDM!! Nadhani mnajua fika madhara ya mada za namna hii!! "samahan kama mawazo yangu ni hasi"
 
Nyinyi mnaotumika kuleta migogoro mnapata faida gani!!? Mleta mada umejaza funza kichwani!!!

wametumwa na idara ya propaganda pale lumumba na wanalipwa posho na magamba
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.

Acha ujinga, huwezi mlinganisha Zitto na Dr Slaa wewe..
 
Zitto ni ka-kichuguu na Slaa ni mlima kilimanjaro katika nyanja zote.
 
Zito ni kiongozi mpenda madaraka kuliko uhai wa chama dr slaa ni mzalendo na anajari maslahi ya chama kuliko maslahi binafsi
 
Hii poll ina lengo la kumtukana Dr. Slaa!!

Mmepambanisha Zena(Zitto) na Undertaker(Slaa)!!

Mods, binafsi nisingependa kuona JF inakuwa sehemu ya chanzo cha migogoro ndani ya CDM!! Nadhani mnajua fika madhara ya mada za namna hii!! "samahan kama mawazo yangu ni hasi"
Wala haitakuwa chanzo cha migogoro. Umeona matokeo? There is no competition.
 
Naomba muwafikishie meseji pia salamu hao wanaojitangazia kuwania uraisi nje ya vikao halali vya chama, wambieni tumewabahini kuwa wanatumiwa na ccm baada ya ccm kuona haitawezekana kumshinda kirahisi dr wa ukweli, kipenzi chetu.
Dr w slaa, aka baba wa taifa wa ukweli baada ya j . K nyerere

Hivi mkuu Dr. Slaaa amepitishwa na kikao gani cua cDM kugombea Urais mwaka 2015?
 
mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii

tuacheni dharau kwa rais wetu

are you sirious!!?
 
Ahaaaaa Kura ya maoni kwa Zitto ndani ya JF tafuta uwanja mwingine

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mini siungani kuvuruga CDM, NCCR-Mageuzi walianza hivi hivi kipindi Mrema alivyokuwa anawika enzi hizo. Tuwaache hawa waheshimiwa wajenge chama na mwisho wa siku tuongoze nchi ilyoho huru na watu wake kufaidika na rasilimali zake. Wote ni wazuri kama wana lengo la kweli kuwatumikia wananchi.
 
mtoto yake maziwa, mwacheni Zitto anyonye ili akue.
 
Dr Slaaaaaaa..this poll result upto now reflect reality. Japo due date yake mmeweka mbali sana.
 
Mods, mimi nadhani dawa ya hawa watu wanaozungumzia UDIDI humu JF hata kama ana Post moja tu si kuwa bunned bali ni kuwa deleted kwenye database ya JF, hawana maana kabisa, issue kubwa hapa ni kuleta habari, kusoma na kuchangia mawazo yako pale unapoona inafaa...
 
Ndugu zangu wa Chadema naomba niwakumbishe jambo moja la msingi sana. Adui anaweza kutumia mbinu ya kitoto sana kukuangamiza. na mbinu hii inaitwa HILA. Hila ni pale adui anapokuletea jambo ukaliona kama ni zuri kwa muonekano wa kwanza ila ukishajiingiza linakurudi na linakuweka katika hali ambayo inakugharimu au kukuweka katika hali mbaya kuliko ulivyokuwa kabla ya kukubali kuingia kwenye mtego. CCM na mapandikizi yao wanatumia mbinu ya ya kuleta hoja kuujadili uraisi kwa sasa ili Wanachadema wajisahau wabaki wanalumbania uraisi halafu hiyo iwe chanzo cha migogoro na kujisahau kupambana na ufisadi na kukujenga chama, halafu wapate upenyo wa kuwamaliza Chadema. Ukiangalia viongozi wengi wa chadema hawajihusishi sana na suala la nani agombee 2015, wengi wako bussy kukijenga chama katika maeneo mbalimbali ya nchi. Huyu Dr. Slaa anayejadiliwa hapa nakumbuka katika mahojiano na mwandishi mmoja wa habari aliulizwa kama atagombea 2015, akajibu hivi: Vikao vya chama ndio vinamteua Mtu atakayeshika bendera kukiwakilisha chama katika nafasi ya uraisi, Hivyo mimi siwezi kusema sasa hivi kama nitagombea au la. Hayo ni maamuzi ya vikao wakati ukifika. Nawaomba wana CDM tuachane na hoja za namna hii kwa sasa. hoja yetu kubwa iwe ni kupambana na ufisadi na kukijenga chama. Ili tuweze kuwangoa hawa Magamba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom