Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Dr. atakuwa kiongozi mzuri ifikapo 2015, Isipokuwa apunguze jaziba:-
(1) Awahurumie wale wote walio wahi kukaa madarakani, hata wake walio mteka na kumtesa dr.
(2) Asiwapeleke the Hague, wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walihusika katika machafuko ya zenj, miaka ile
(3) Asitaifishe majengo ya nyinyiemu, hasa makao makuu pamoja na viwanja vya mpira vya nyinyiemu kirumba, nk
(4) Asiwahukumu wale wote waliouza migodi na viwanda pamoja na majumba yote ya serikali
(5) ............................ nanyi endelezeni.
 
hivi hummer na vogue kanunuaje?

amehongwa hela mingi za usalama wa taifa afunge mdomo juu ya maswala yanayohusu maslahi ya wakubwa, nae kwa akili ndogo akakubali na sasa zitto yuko kimya sana kwnye issue nying.
Hafu anadai ni mzalendo....thubutu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata ukinishtua usingizini ni slaa tu, tunaangalia mtu ambaye atatufikisha kunakotakiwa sio mpiga debe mnafiki. na kwa kuonyesha jinsi slaa alivyo kiongozi kamili siku zote hizi zito shibuda wanapiga makelele yeye kauchuna tu
 

ZITTO KABWE akiwa RAIS ni Sawa Sawa na RIZ1 kubadilisha chumba IKULU; UFISADI WAKE

UTAKUWA ULEULE NI Kama Ungwe ya Tatu ya Kikwete...
 
Zitto si saizi y Dr. Slaa kabisa, saizi yake ni akina Mnyika, Mdee na wenzake. Aache mdomo hana ubavu wa Urais bali anatumiwa na CCM. Na kuna siku tutamuanika peupee ili aache upopo wake ndani ya Chadema.

Na kama anataka umaarufu basi afungue chama chake ,
m nlikuwa nasikia watu zamani wakisema watu wa kigoma hata umkute ana akili sana ila itatokea siku akarudi kuwa kama illiterate maana elimu aliyoipata haikai kichwani inapita kama upepo tu na kumwacha kama alivyozaliwa.
Nadhan ndo haya tunayoyashuhudia kwa huyu mropokaji-binafsi na mtaka madaraka kwa pupa zitto
 
amehongwa hela mingi za usalama wa taifa afunge mdomo juu ya maswala yanayohusu maslahi ya wakubwa, nae kwa akili ndogo akakubali na sasa zitto yuko kimya sana kwnye issue nying.
Hafu anadai ni mzalendo....thubutu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hata mwakyembe alisema kuna mambo mengi sana hakuyasema kwa masilahi ya nchi labda nae anafanya hivyo hivyo....
 
Zitto.

1) Kijana,
2) Slaa alishagombea.
3) Mjenga Hoja

Ila tu apunguze Sifa.
 
Nimelazimika kupiga kura ya maoni kutokana na kwamba nilipobofia kuendelea kusoma michango ya WanaJF juu ya hili suala kompyuta ilikataa kuendelea.

Hata hivyo nilipiga kura kwa Dr Slaa, kwa sababu kwa mujibu wa Katiba ya sasa, Zitto hawezi kuwa mgombea u-Rais kutokana na umri. Hatakuwa na miaka 40 mwaka 2015.

Najua kuna kampeni, hasa miongoni mwa vijana, kupunguza hiyo miaka 40 kufikia 35 kama ilivyo huko Merikani. Lakini Zitto akijiingiza ktk hiyo kampeni waziwazi mbele ya hii Tume ya Warioba, ataonekana ni m'binafsi kiasi cha kutaka kubadilisha Katiba kwa maslahi yake binafsi.!!!!!!!

Hata hivyo, MwanaJF mmoja ameshaorodhesha, kabla yangu, sifa nne stahiki za Mtanzania ambaye anastahili kuwa mteule wa Chama na mimi singetaka kuongeza. Lakini niongeze kwamba hii hoja (ya Zitto au Slaa) ni premature (bado wakati wake). Hakuna kipengele au Ibara ya Katiba ya sasa, au hata ya Katiba tunayoandaa, inaweza kumnyima Raia wa Tz kogombea u-Rais eti kwa sababu ameingia katika chama cha siasa siku za karibuni.
 
chadema ni chama cha wakristu zitto ni muislam. chadema ni chama cha watu wa kaskazini zitto kwao kigoma.. mbowe anamtaka dr. slaa kwasababu slaa ni YES men yani anakubali kila kitu mbowe anachosema. wakati zitto alitaka kugombania uwenyekiti wa chama.. wazee wa chama wanamtaka slaa sababu ni mtu kutoka kaskazini
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.
Hivi kwenye chama(chadema), zito amefanya nini mpaka sasa kukijenga chama?, je amewafanyia watanzania nini cha kukumbukwa?
 
Ana hulka na uongozi huyu Zitto na pia hana busara na ninaamini kama ni usalama wa Taifa huyu. So mie nampenda Slaa.
 
Zitto ndo mpango mzima 1. Ni muislam 2.Ni kijana ana nguvu ya kufanya kazi 3.Sio mchaga atakuwa na matumizi mazuri ya pesa za umma bila ubahili na 4.kafumbulia macho CDM hajawa kigeu geu kama slaa kwani slaa ashawahi kuwa magamba
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.

Tulijua utasema hivyo! Ndiyo tabia yako!
Zitto bado ana future kubwa CDM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom