Kuprint page moja 1OOO/=Tsh. Kasulu, wanaJF tusaidieni

Kuprint page moja 1OOO/=Tsh. Kasulu, wanaJF tusaidieni

Mkuu you can easily. Obtain a cheap printer with 3 f(x)'s (printing,scanning na copying) and therefore ukasave costs au hata kuweze kupata kipato cha ziada kwakuanzisha stationery yako binafsi.
 
Kwahiyo kla m2 awe na stationery yake? 2tafika! ? Toa maoni kwa kuwasaidia wa2 wa Kasulu,
 
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf

hesabu kuna vyuo vikuu vingapi huko hadi bei iwe 500 mkuu au 100 kama mabibo hostel badilika mkuu..
 
Kwenye red hapo panasumbua sana ni kama ka ugonjwa ka taifa!!


...Mkuu KIvyako, sio Kama! Kukosa Umakini ni Gonjwa la Taifa ambalo badala ya kutafuta mbinu za kulitibu tunajifariji kwa neno la 'Si Umeelewa'! Kaazi kweli.

 
hata bukoba ni 1000.
kutoa cop sh 100 kwa copy 1
internet service kwenye cafe ni sh 1000 kwa nusu saa

kwa hiyo unasemaje
 
Kwahiyo kla m2 awe na stationery yake? 2tafika! ? Toa maoni kwa kuwasaidia wa2 wa Kasulu,
Inawezekana ukubwa wa demand ndio umesukuma bei ya kuprint kuwa juu. Kama ni ndivyo ilivyo, wingi wa stationery centers utazishusha bei hizo. Hajatoa ushauri mbaya.
 
Mliahidiwa maisha bora ndo hayo
 
Nifumbue macho mkuu

Stationary (adjective): not moving: especially at a standstill after being in motion
Immobile: fixed in position and not able to be moved
Unchanging: not changing

Stationery (noun): paper, envelopes and other things used in writing
Source: English Dictionary
 
mkuu komaa huko ndiyo kasulu lakini boomu imepanda ni sh.10000/=
 
Karatasi, wino, umeme, kodi ya nyumba, muda + ujuzi. Ningekutambua ningekufanyia 1500 kabisa.
 
1. Amenunua vifaa
2. Amepanga chumba na analipa kodi kubwa.
3. Analipia umeme
4. Anafanya kazi
5. Anatumia muda
5. Hiyo kazi yenyewe alipata mafunzo kwa kulipa hela.
Nadhani elfu moja ni bei ya kawaida tu, hata hapa dar kuna baadhi ya maeneo hiyo ndio bei yenyewe.

naongeza:
6 analipa TRA - mapato na kama wakala wa TRA kwa kulipia ushuru ambao mwenye chumba cha biashara alitakiwa ailipe TRA moja kwa moja

7 analipia liseni ya biashara - siku hizi ni kila mwaka na si chini ya 100,000/=
8 alipie ushuru wa taka, zima moto na vikolombwezo vyake
9 ulinzi
10 wino ambao mara kadhaa ni feki na unahatarisha kuharibu mashine
11. mafundi huenda wanatoka mjini Kigoma
n.k
 
Mkuu you can easily. Obtain a cheap printer with 3 f(x)'s (printing,scanning na copying) and therefore ukasave costs au hata kuweze kupata kipato cha ziada kwakuanzisha stationery yako binafsi.

nipe cost yake, na ya wino nione nafanyaje?
 
Back
Top Bottom