Kuprint page moja 1OOO/=Tsh. Kasulu, wanaJF tusaidieni

King Mculture

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf
 
Itabidi nilete biashara huko na nitakuwa naprint kwa mia tatu, lakini watu wa kuprint ni wengi? Unaweza kuleta biashara ukashangaa unapata wawili baada ya wiki mbili.
 
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf

Wewe unataka kuprint kwa sh ngapi, mia? wabongo kwa kulalamika, hapo ukute unaprint page kumi tu lakini unalalama mpaka JF, kwa taarifa yako hata dar kuna sehem printing ni elfu moja kwa page hutaki unaacha! Hizo biashara za stationery na secretarial service siyo rahisi, kama unaona hiyo buku wanafaidi wewe nunua kijilaptop na laserjet printer yako moja kisha weka kijiwe hata kwenye verandah ya mtu, print kwa jero upige pesa!
 
jiulize anatumia mkojo kuprint alafu uamue kuprint ama kuacha
 
jf imegeuka ewura
kutoa bei elekezi??twi twi twi
 
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf

Ulitaka wakuprinitie kwa sh ngap? Nunua computer na printer yako then utajua hata gharama za catridges!
 
1. Amenunua vifaa
2. Amepanga chumba na analipa kodi kubwa.
3. Analipia umeme
4. Anafanya kazi
5. Anatumia muda
5. Hiyo kazi yenyewe alipata mafunzo kwa kulipa hela.
Nadhani elfu moja ni bei ya kawaida tu, hata hapa dar kuna baadhi ya maeneo hiyo ndio bei yenyewe.
 
kila mtu anapanga bei yake kwani ma vyuoni wanavoprint kwa 150/- kwa mfanyakazi nae alalamike bei ndogo?
 
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf

Hiyo ni bei ya kawaida ndugu yangu.
Nahisi kama ni mwanafunzi umezoea zile bei za vyuoni ambazo zinatokana na wingi wa uhitaji wa huduma hiyo kwa hiyo inakuwa rahisi kwa mtu kupata faida hata kwa bei ya chini ya mia tano.
Na kama ni mfanyakazi umezoea printers za bure ofisini kwako.
 
ttz wanafunz waliotoka chuo ndo wanalalamika kimtaa mtaa printing 1000 copy 100 hutaki sepa mana mtaan kaz c nying jifunze kupambana na maisha
 
Sio huko tu ndugu yangu hata hapa Arusha kuna siku nimeprint karatasi mbili tu! Chaa ajabu nililpishwa 2000 niliaikitika sana ila nililipa.utafanyaje na ndio mazingira tunayojengewa kila mahali ufisadi
 
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf

Umewahi kusikia "Law of Demand and Supply" na inavyofa kazi? Ukute Wilaya nzima ya Kasulu wapo wawili tu wenye kutoa huduma hiyo! Kwa hali hiyo lazima mliwe! Ukiona vipi kuwa buku kwa page inazingua we kwea Adventure hadi KGM au Geita kapige kwa jero jero! Kwa nn uibiwe banaaa!
 
Wana Jf nawauliza ni mamlaka gani inausika kupanga nakusimamia bei za huduma hizi za stationary hapa kasulu kigoma kuprint page moja ni elfu moia ya kitanzania, umeme upo wa tanesco, distance sio hoja bidhaa nyingine bei ni kawaida, tusaidiane wana Jf

Hapo ujaprint kwa colour, ndio maisha bora hayo.. chukua kama changamoto ya wewe kutafuta pesa kwa juhudi zaidi ikiwezekana nunua computer, printer na scanner weka ndani..
 
Back
Top Bottom