Hapana, wako sawa maana kuna wengi naona wanafanya hivyo na wanafanikiwa! Kuna kikundi huku mtaani kwangu sasa kimefikia hatua ya kukopeshana kwa riba ndogo sana na mwanachama anaweza kukopa mpaka 30mKuna boya hapa anatafutwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini na atapatikana tu.
.HUU UZI WA KIPIGAJI. KUNA BWANA MDOGO ALIKUJA NA HAYA MAPIGO MWAKA JANA WALIKUWA WATU 20. THE SAME AMOUNT. WAKACHANGIA WENZAO WATATU. KIKUNDI KIKAANZA KULEGA LEGA MPAKA LEO WANASUMBUANA KESI YA MADAI.
NAONA MTU AKIENDA KUPIGWA HAPA. NAMWONA MTU AKILIA, NAMWONA MTU AKIGAA GAA NA UPWA. NA AKALA NCHANGA TU HATA WALI MKAVU ASIPATE.
mnagwana magari kama njugu safi sana ....Watu wanapokea Magari kila wiki