Fredwa4real
Member
- Apr 2, 2011
- 40
- 25
Je kisa ni WASAFI kufungua Redio na TV Yao? Au kuna la zaidi
Mdau ipo nyima wasafi wapo tayari kufungua redio na Tv yao hivi KARIBUNI ndio maana wamekua jeuriWasafi redio zao ni zipi?
Lakini hata ilifunguliwa EFM na ETV tuliambiwa ndio mwisho wa Clouds lakini bado tunaona watu wanaenda kuomba radhi!!!!!Je kisa ni WASAFI kufungua Redio na TV Yao? Au kuna la zaidi