Kupishana meneja wa Wasafi-WCB na bwana ruge CLOUDS

Kupishana meneja wa Wasafi-WCB na bwana ruge CLOUDS

Kuna habari huwa naziachia zinipite hii bado mojawapo.. hata baada ya kuona threads nyingi zimeanzishwa leo.
 
Kisa demu mmoja hivi wanamgombania kimya kimya hasa mabifu yao yanaingia hadi kwenye kazi
 
Je kisa ni WASAFI kufungua Redio na TV Yao? Au kuna la zaidi
Lakini hata ilifunguliwa EFM na ETV tuliambiwa ndio mwisho wa Clouds lakini bado tunaona watu wanaenda kuomba radhi!!!!!
 
Back
Top Bottom