Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,143
Ooooh!! Hivi sijaweka wengi!! Ngoja nikarekebishe.Mh! Wote?????? Bora umetoka nduki
Ooooh!! Hivi sijaweka wengi!! Ngoja nikarekebishe.Mh! Wote?????? Bora umetoka nduki
Sure... Napataga heartburn nikionaga kejeli kama hizi.. Stay strong my mom nd my sisy mmenitoa mbaliBest we najua huo mrengo haukuhusu kabisa. Big up, na uje uwalee wanetu wa kiume kuwa WANAUME kama baba yao.

Mwanamke anaweza kuwa kakuzidi kipato,elimu na umri wa kutosha tu lakin kama uko nae kwenye uhusiano kuna mambo utagundua na kuona kwamba wa kike ni wakike tuKwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.
Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Sawa mkuuOoooh!! Hivi sijaweka wengi!! Ngoja nikarekebishe.
Mlivyoambiwa muishi nasi kwa akili mlifikiri kwasababu sie vilaza eeeh!!!Sure... Napataga heartburn nikionaga kejeli kama hizi.. Stay strong my mom nd my sisy mmenitoa mbali![]()
Exactly, mimi sifa ambazo mwanamke anazo na mwanamme hana sioni kama ni udhaifu ni tofauti za kijinsia tu(gender rule).Nadhani wamesahau majibu bado wanatafuta. But kwa haraka mwanamke udhaifu wake umebase kwenye hisia zaidi. Ni watu wa huruma sana mwisho wa siku huruma zao zinawaponza then wanakuwa watu wa chuki kupita kiasi hata kwa vinavyopaswa kuhurumiwa, wengi hawawezi kushindana na hisia zao kama wanaume na hapo ndipo ikaja kuwa suala la madaraka au kichwa cha familia anafit zaidi baba coz maamuzi ya mwanaume mara chache hayaongozwi na hisia kama ilivyo kwa mwanamke. Japo sikuizi mambo yanabadilika kuna hata viongozi wengi wanawake ni kama ilivyo nature ya binadamu kupingana na nature yake thus why the world is going shakarabagala.
Sasa ulitaka wa kike awe wa kiume?Mwanamke anaweza kuwa kakuzidi kipato,elimu na umri wa kutosha tu lakin kama uko nae kwenye uhusiano kuna mambo utagundua na kuona kwamba wa kike ni wakike tu
Na abarikiwe muke huyo wakwakoKuna vitu vingi, mfano, unampa pesa ya kusuka nywele lakini anaacha kusuka anamnunulia mtoto daftari la shule. anabania pesa ya matumizi anaongeza vifaranga vya kuku na mengine mengi
Udhaifu ni nini! Na hapo udhaifu wa mwanamke utakuwa kwenye nini?Mwanamke anaweza kuwa kakuzidi kipato,elimu na umri wa kutosha tu lakin kama uko nae kwenye uhusiano kuna mambo utagundua na kuona kwamba wa kike ni wakike tu
Hatukatai kwamba hawatusaidiiHhahahhaha kichwa ndo kinapiga ngeta mkuu... Kiukwel tuache unazi au kujikubali pasipo na haja. Wanawake wanatusaidia mno ila tunawachukuliaga mapopoma sana oooh ni kiumbe dhaifu... Naandika hivi kwa experience na mifano hai ya familia kadhaa... Wanaume tunazingua.
Nimemwambia jamaa apo.. Reason ya mwanaume kuambiwa aishi kwa akili na mwanamkeMlivyoambiwa muishi nasi kwa akili mlifikiri kwasababu sie vilaza eeeh!!!
Mjitafakari sana, na mkumbuke misingi.
Umeanza uongo Naona unapinga hadi vitabu vitakatufuExactly, mimi sifa ambazo mwanamke anazo na mwanamme hana sioni kama ni udhaifu ni tofauti za kijinsia tu(gender rule).
Hata ubongo wa mwqnamke ni tofauti na wa mwanamme..kwenye processing, chemistry, structure n.k.
mwisho wa siku tutasema kuwa na matiti ni udhaifu au kutokuzaa ni udhaifu.
Mkuu UDHAIFU ni nini??Udhaifu ni nini! Na hapo udhaifu wa mwanamke utakuwa kwenye nini?
Wa kike ni wa kike kweli hili lipo wazi na wa kiume ni wa kiume tu.
mwqnamke akikosa sifa alizonazo mwanamme huo sio udhaifu nitawaelewa kama mtaniambia Mwanamke akikosa sifa mwqnamke anazotakiwa kuwq nazo ndiyo dhaifu.
Jitahidi uwe na uhusiano na mwanamke unayehisi kakuzidi mambo fulani fulan alafu utakuja kutupa mrejeshoUdhaifu ni nini! Na hapo udhaifu wa mwanamke utakuwa kwenye nini?
Wa kike ni wa kike kweli hili lipo wazi na wa kiume ni wa kiume tu.
mwqnamke akikosa sifa alizonazo mwanamme huo sio udhaifu nitawaelewa kama mtaniambia Mwanamke akikosa sifa mwqnamke anazotakiwa kuwq nazo ndiyo dhaifu.
Uongo wangu ni upi na ukweli wake ni upi?Umeanza uongo Naona unapinga hadi vitabu vitakatufu
Mascularity sawa lakini hii tofauti ya kibailojia.Jitahidi uwe na uhusiano na mwanamke unayehisi kakuzidi mambo fulani fulan alafu utakuja kutupa mrejesho
Mwanamke hana u strong aliokuwa nao mwanaume na hii ni kwa kila kitu kuanzia mawazo akili nguvu na kila kitu ndio maana mwanaume atabaki kuwa kichwa tu
Kwamba tofauti ni mkia au pango?Sa mnabishana nini?
hutakiwi kuniuliza hili swali wakati tupo page ya 4Mkuu UDHAIFU ni nini??