FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Then?Hatukatai kwamba hawatusaidii
Then?Hatukatai kwamba hawatusaidii
Mungu mwenyewe aliyewaumba amesema ni viumbe dhaifu alafu wew unabisha, hii kali...Mwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni Gender rules.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
Hakuna sehemu nimesema mwanamke hana udhaifu.Eti kwamba Mwanamke Hana Udhaifu ni tofauti tu ya kijinsia
Tuanze...UDHAIFU ni nini?Hakuna sehemu nimesema mwanamke hana udhaifu.
Wanawake dhaifu wapo na wanaume dhaifu wapo. Nyie mnataka kuniaminisha Wanawake in nature ni dhaifu nikawauliza katika nini hamtaki kusema.
Huo udhaifu mnaouongelea nyie ni tofauti za kijinsia.
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke. Mengine mbwembwe tu mnapoteza muda.Kwamba tofauti ni mkia au pango?
Mungu amesema hivi tuishi nao kwa akili maana ni viumbe dhaifu, sasa wewe unambishia aliyeumba?? Tukuamini wewe kuliko aliyewatengeneza sio?tofauti za kijinsia kati ya mwanamke na mwanamme sio udhaifu.
Tatizo mnashindwa kuniambia udhaifu wa mwanamke upo kwenye nini.
Udhaifu wa mwanamke upo kwenye nini ??
Haya.Mungu mwenyewe aliyewaumba amesema ni viumbe dhaifu alafu wew unabisha, hii kali...
Hivi umeelewa mleta mada anataka nini?Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.
Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Hivi umeelewa mleta mada anataka nini?Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.
Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Weweee mwanamke anaweza kukuzidi elimu, pesa lkn hawezi kukuzidi namna ya kupambanua mambo hawezi kukuzid busara ya kuona mbali..... Yan yeye awe na akili zake timamu na wewe uwe na akili zako timamu kamwe hawezi kuuzidi utimamu wako labda km wewe dume uwe na kichwa mpira hapo kweli atakua ye ndo mwamuzi wa mambo ya familia yenu...ukweli ndo huo ndugu embu km hujaishi na mwanamke ndani jaribu kufanya ivo utaona jinsi anavyobolonga ndo utaaminiMwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni Gender rules.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
Binadamu yeyote ishi naye kwa akili siyo mwanamke tu.Mungu amesema hivi tuishi nao kwa akili maana ni viumbe dhaifu, sasa wewe unambishia aliyeumba?? Tukuamini wewe kuliko aliyewatengeneza sio?
Hii mada imeanzia mada iliyoletwa na mtu mwingine siku zilizopita.Hivi umeelewa mleta mada anataka nini?
Hahaha kwa hiyo wanaume wote duniani wanawazidi wanawake kupambanua mambo yote?Weweee mwanamke anaweza kukuzidi elimu, pesa lkn hawezi kukuzidi namna ya kupambanua mambo hawezi kukuzid busara ya kuona mbali..... Yan yeye awe na akili zake timamu na wewe uwe na akili zako timamu kamwe hawezi kuuzidi utimamu wako labda km wewe dume uwe na kichwa mpira hapo kweli atakua ye ndo mwamuzi wa mambo ya familia yenu...ukweli ndo huo ndugu embu km hujaishi na mwanamke ndani jaribu kufanya ivo utaona jinsi anavyobolonga ndo utaamini
Udhaifu ni mapungufu ya mtu.Jibu hili swali utaelewa
Mwamke anaweza kuwa mwasheria labda alafu mimi fundi welding lakini kusoma kwa huyu mwanamke hakuondoi nature yakeMascularity sawa lakini hii tofauti ya kibailojia.
Akili wewe kuna wanawake wanakuzidi hadi humu wapo. Tafuta kipimo cha akili tuwapime na mmoja wa humu uone.
Mawazo kuna wanawake wana mawazo mazuri kukuzidi wewe.
Asante, Tunasema Wanawake ni Dhaifu kwa sababu hawawezi Kumanage Logic na Emotions kwa wakati Mmoja...mwanamke hatumuamini katika baadhi ya maamuzi kwa sababu ya yeye kuwa na uwezekano mkubwa w kutumia hisia kuliko logic na huo ni udhaifu tofauti na sisi wanaume tunaotumia Logic zaidiUdhaifu ni mapungufu ya mtu.
Mwamke anaweza kuwa mwasheria labda alafu mimi fundi welding lakini kusoma kwa huyu mwanamke hakuondoi nature yake
Kuna mambo ya kawaida tu ambayo sio tatizo kwa mwanaume atakuja kuuliza tu au kuomba ushauri
Na wao kiasili wanaamini mwanaume anaweza hata ukiwauliza na kama wakibisha ni kwa sababu tu wanataka usawa japo tukiamua iwe sawa kweli watalalamika wanaonewa kwa sababu wanaume kuna vtu tunafanya mwamke hawezi kufanya
Hata wanyama kuna ambao wanafundishwa taaluma fulani na wanakuwa mahiri kuliko hata binadam sio kwamba wanatuzi akili hapana asili yao iko palepale

Mkuu usiangalie cheo chake au wadhifa wake serikalini au wharever tunasemea busara zake kwenye kutolea uamuzi problem flan au conflict flan au kugundua uzur au ubaya wa jambo flan kabla ya kulifanya mfano kwenye vitu vinavyoitaji kutolewa uamuzi flan potential au vinavyoitaji msimamo flan au kwenye kutoa ushauri juu ya jambo flan ya hata action zao utagundua huyu kuna vitu vinamissHaya subiri siku Malkia Elizabeth awe dhaifu kwako.
Halafu sina muda wa kumsifia mtu mimi nakuelekeza uachane na mawazo yako.