Chirozo
Senior Member
- Dec 20, 2017
- 145
- 227
Nina wasi wasi na jimsia yako.Aliyewaumba hakuwahi kuwapa nafasi na au hata kuwahesabu.
Ila leo wanawake wana kaya zao kama wanaume tulivyo, wana wahubiria hadi makanisani kama tufanyavyo wana nguvu na ushawishi kama tulivyo.
Aliyewaumba alikuwa hajasoma nyakati tu. niite mario ila naweza kuwa babayako.
Bilashaka wewe Sio mwenzetu.

