Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kupima Reasoning ya Mwanamke

Inategemea na mwanamke uliye naye mkuuu
 
ni

kweli sikuhizi hatusemi tunanyamaza lakin tunajua mwanamke ni kama mtoto,ukiwa nae ishi nae kwa busara na akili vinginevyo hamtafika salama
Kuna swali umeulizwa zaidi ya mara tatu sijui kwanini unalikwepa .
Tuambie udhaifu wa mwanamke upo katika nini mkuu?
 
Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.

Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.

Well said, comrade
 
inaonekana kuna mitazamo tofauti kuhusiana na hilo suala la mwanamke na mwanaume.....Na kulifanyia maamuzi inategemea mtu mmoja mmoja na mtazamo wake...mf kama wewe unaona Mwanaume ni sawa na Mwanamke kwa kutazama Mali ,pesa ,nk lakini kwa Misingi ya Uumbaji Huenda ikawa Tofauti sana unadhani kwa nini Aliyetuumba alitutahadharisha kwamba wao ni Viumbe dhaifu na akaongezea tunapaswa kuwapenda lakini kubwa zaid akatwambia TUISHI NAO KWA AKILI,,,,,, Lakini kubwa kuliko yote Mwanaume akapewa UKICHWA wa FAMILIA ...kama unamwona mwanamke ni sawa na mwanamme Basi unaweza kuacha mwanamke awe kichwa cha familia ikiwa unaona amekuzidi pesa ,akili,na vingine vingi

Mimi naangalia uhalisia wa ninachokiona kwa macho yangu kwasasa hayo mambi ya kuumbwa na udhaifu nyie yachukueni.

Kuna wanawake vichwa vya familia, mwanaume mlevi familia hahudumi, watoto matumizi hatoi mke ndiye anahangaika tu. Huyu mwqnamme utamuita kichwa cha familia kisa tu imeqndikwa kwenye vitabu??

Zama za kusema mwanamke ni dhaifu labda uwe unajilinganisha naye na uwe umemzidi na sio fallacy generalization.
 
Mwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
hahahhahahhahahahahahahahahahaha
 
Mwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.

Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni tofauti.

Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi

Utasema huyu ni dhaifu?
Hit
 
yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
Uongo wa saa nane huu... Jiulize why tunaishia kuwaslap au kuwakunjia ngumi?
 
Marioo tuliza mshono. Aliyewaumba anasema anasema wana mapungufu ww kulelewa kidogo tu unawasujudia. Au sio ME ww?
Naona mkuu umeamua kumchana tu, kila anavyoambiwa haelewi.
Mwanamke ni dhaifu tu mbele ya mwanaume hata amiliki Dunia nzima.
 
Mimi naangalia uhalisia wa ninachokiona kwa macho yangu kwasasa hayo mambi ya kuumbwa na udhaifu nyie yachukueni.

Kuna wanawake vichwa vya familia, mwanaume mlevi familia hahudumi, watoto matumizi hatoi mke ndiye anahangaika tu. Huyu mwqnamme utamuita kichwa cha familia kisa tu imeqndikwa kwenye vitabu??

Zama za kusema mwanamke ni dhaifu labda uwe unajilinganisha naye na uwe umemzidi na sio fallacy generalization.
Nimekuelewa sana mkuu hapo ulipo pitia kwa mangi mwambie akupe kinywaji bariiiiidi nakuja kulipa
 
Kwanini uhangaike kumpima, hakuna kipimo rasmi zaid ya maongezi, kama wewe uko timamu kichwani basi kupitia maongezi tu ndio unajua, huyu mtu, ni popoma, kilaza, ndimu, chenga ama timamu..

Na hiyo haijalishi mwanamke ama mwanaume.. yoyote yule inafanya kazi,
Kwa wanaume Najua maana naishi nao deile ila wanawake sasa
 
Mwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
Ungefua tu mkuu na hiyo hela ukanywa kirikuu mbili
 
Kuna swali umeulizwa zaidi ya mara tatu sijui kwanini unalikwepa .
Tuambie udhaifu wa mwanamke upo katika nini mkuu?
unajua ipo hivi mwanamke kwa asili ni dhaifu,hapa haitegemei ana mali au akili,kila mwanamke anaudhaifu wa kipekee kwa hiyo siwezi sema kuwa udhaifu wake ni huuu,hapana kwasababu wanatofautiana,kikubwa kama wewe ni mwanaume hakikisha unaishi kwa akili na mwanamke ili muweze kufika muendako,ful stop
 
Back
Top Bottom