Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kupima Reasoning ya Mwanamke

Wewe Bila shaka hujalelewa na baba
mwambie huyo,harafu nafkiri hajaishi na mwanamke aone yupo vipi,yeye anaangalia vitu kwa nje mwanamke ukitaka kumjua ishi nae,ila kwa kusoma vitabu vya kizungu na kuangalia tamthilia huwezi muelewa mwanamke hata.
 
Very true
 
Itabidi nikuupuze maana una assume assume mambo tu.

Huo udhaifu wa mwanamke sijaona unaueleza nipate kukuelewa.

Nipo kwenye ndoa mwaka wa 15 unaniambia niishi na mwanamke tena!
usijempa credit mwanamke kwa haraka kwan wao asili yao ni wasaidizi tuuu,okay tuishie hapo
 
Mwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.

Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni tofauti.

Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi

Utasema huyu ni dhaifu?
inaonekana kuna mitazamo tofauti kuhusiana na hilo suala la mwanamke na mwanaume.....Na kulifanyia maamuzi inategemea mtu mmoja mmoja na mtazamo wake...mf kama wewe unaona Mwanaume ni sawa na Mwanamke kwa kutazama Mali ,pesa ,nk lakini kwa Misingi ya Uumbaji Huenda ikawa Tofauti sana unadhani kwa nini Aliyetuumba alitutahadharisha kwamba wao ni Viumbe dhaifu na akaongezea tunapaswa kuwapenda lakini kubwa zaid akatwambia TUISHI NAO KWA AKILI,,,,,, Lakini kubwa kuliko yote Mwanaume akapewa UKICHWA wa FAMILIA ...kama unamwona mwanamke ni sawa na mwanamme Basi unaweza kuacha mwanamke awe kichwa cha familia ikiwa unaona amekuzidi pesa ,akili,na vingine vingi
 
-huyu bwana ni mbishi yamkin ataeewa kiasi
 
usijempa credit mwanamke kwa haraka kwan wao asili yao ni wasaidizi tuuu,okay tuishie hapo
Wewe unayeamini mimi kuamini vitabu vya kizungu nimekengeuka ila kuamini kwako biblia kuwa mwanamke ni dhaifu ni sawa hatuwezi kuelewana.
 
inaonekana kuna mitazamo tofauti kuhusiana na hilo suala la mwanamke na mwanaume.....Na kulifanyia maamuzi inategemea mtu mmoja mmoja na mtazamo wake...mf kama wewe unaona Mwanaume ni sawa na Mwanamke kwa kutazama Mali ,pesa ,nk lakini kwa Misingi ya Uumbaji Huenda ikawa Tofauti sana unadhani kwa nini Aliyetuumba alitutahadharisha kwamba wao ni Viumbe dhaifu na akaongezea tunapaswa kuwapenda lakini kubwa zaid akatwambia TUISHI NAO KWA AKILI,,,,,, Lakini kubwa kuliko yote Mwanaume akapewa UKICHWA wa FAMILIA ...kama unamwona mwanamke ni sawa na mwanamme Basi unaweza kuacha mwanamke awe kichwa cha familia ikiwa unaona amekuzidi pesa ,akili,na vingine vingi
Very Logical ...Popote ulipo Mkuu Agiza Kinywaji Nakuja Kulipa!
 
Kwanini uhangaike kumpima, hakuna kipimo rasmi zaid ya maongezi, kama wewe uko timamu kichwani basi kupitia maongezi tu ndio unajua, huyu mtu, ni popoma, kilaza, ndimu, chenga ama timamu..

Na hiyo haijalishi mwanamke ama mwanaume.. yoyote yule inafanya kazi,
 
Back
Top Bottom