Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,118
- 27,939
Ndiyo akomeMaskini, Kama namuona vile
Ndiyo akomeMaskini, Kama namuona vile
Ulishachukua watoto wangapi mpaka sasa?tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
Kwani mtoto anaweza kuzaliwa matumbo mawili tofauti?Unafunga kamba, wengine si mara moja kupima DNA lazima wote watatu mnapanua midomo wanachukua sample
Muulize zake ametubu na ni msafi?Nimetubu tayari nimegundua uzinzi hauna deal
Hongera sana, unamleta kwenye familia anakuwa tofauti na watoto wanyumbani kumbe tabia zake za huko kwababa yakeKapime uwe na uhakika maisha yenyewe yapo wapi unapasuka kichwa kisa kuna li demu limekuona we bwege wa kusingiziwa mtoto.
Ukiskia uboya ndo huotuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
Ushaliwa wwKuna mmoja nalea wa nje yupo tofauti sana kitabia hata sura hafanani na ndugu zake au mimi, vidole vifupii hata mama yake hana vya namna hii kuna haja ya kupima tu hapa
😀😀Ndiyo akome
Kiongoz mbona km unataka kuleta fujo ndan ya familia, tatizo nin kwani?Kuna mmoja nalea wa nje yupo tofauti sana kitabia hata sura hafanani na ndugu zake au mimi, vidole vifupii hata mama yake hana vya namna hii kuna haja ya kupima tu hapa
Mkuu bora umasikini wa ujanani kuliko uzeeniKiongoz mbona km unataka kuleta fujo ndan ya familia, tatizo nin kwani?
Yakinikuta ya huyo jamaa kwepost, gharama za kupoteza.Kapime uwe na uhakika maisha yenyewe yapo wapi unapasuka kichwa kisa kuna li demu limekuona we bwege wa kusingiziwa mtoto.
kwani mkuu mtoto alifanana nawewe hata vidole,maana kwa wengine tayari ilikuwa ni sababu ya kukataa bila hata DNA