Kupima DNA (Kwa anaetaka kujua)

Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,870
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,870 2,000
Habari zenu wana jf.
Kuna nyuzi nyingi humu zikieleza juu ya hatua ya kupima DNA hata mimi nilikuwa sijuagi ni taratibu zipi zinahusika juu ya kupima DNA .
Leo naomba niwaeleze hatua nilizopitia mpaka kupima DNA
In short nilishawahi kudate na msichana fulani then tukaachana kwa sababu ambazo siwezi kuziandika humu.Mbaya zaidi huyo dada tulipoteana muda mrefu nimeshangazwa kuonana nae fb akanitumia sms kuwa eti mimi nilimuacha na mimba na kwa sasa ana mtoto wa miaka 2 kasoro hivyo nikaona kuna dalili ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
OK NGOJA NIRUDI KWENYE MADA
In short nilienda ofisi ya ustawi wa jamii nikajieleza wakanipa appointment ya kuja na mama wa mtoto then wakatusikiliza kwa pamoja mwisho tukatengenezewa barua ya kwenda kupokelewa ofisi ya mkemia mkuu then tukatengenezewa bill ya malipo kupitia Control number nikaomba zichukuliwe sample za watu wawili ambapo hapo ni mimi na mtoto jumla ni laki 2 kwa vile kila mmoja ni laki 1.MATOKEO NI BAADA YA MWEZI YAKATOKA NI ZERO.
Kama kuna swali nakaribisha
 
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
1,792
Points
2,000
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
1,792 2,000
Umetuacha njia panda kwenye hayo majibu ya Zero!
 
THE GAME

THE GAME

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2010
Messages
543
Points
250
THE GAME

THE GAME

JF-Expert Member
Joined May 30, 2010
543 250
Eleza vizuri ueleweke.matokeo zero ndio nini?
 
K

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Messages
2,306
Points
2,000
K

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2014
2,306 2,000
Habari zenu wana jf.
Kuna nyuzi nyingi humu zikieleza juu ya hatua ya kupima DNA hata mimi nilikuwa sijuagi ni taratibu zipi zinahusika juu ya kupima DNA .
Leo naomba niwaeleze hatua nilizopitia mpaka kupima DNA
In short nilishawahi kudate na msichana fulani then tukaachana kwa sababu ambazo siwezi kuziandika humu.Mbaya zaidi huyo dada tulipoteana muda mrefu nimeshangazwa kuonana nae fb akanitumia sms kuwa eti mimi nilimuacha na mimba na kwa sasa ana mtoto wa miaka 2 kasoro hivyo nikaona kuna dalili ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
OK NGOJA NIRUDI KWENYE MADA
In short nilienda ofisi ya ustawi wa jamii nikajieleza wakanipa appointment ya kuja na mama wa mtoto then wakatusikiliza kwa pamoja mwisho tukatengenezewa barua ya kwenda kupokelewa ofisi ya mkemia mkuu then tukatengenezewa bill ya malipo kupitia Control number nikaomba zichukuliwe sample za watu wawili ambapo hapo ni mimi na mtoto jumla ni laki 2 kwa vile kila mmoja ni laki 1.MATOKEO NI BAADA YA MWEZI YAKATOKA NI ZERO.
Kama kuna swali nakaribisha
SEMA NI mtoto wako au siyo wako? Ukileta misemo sisi HATUWEZI dadavua
 
D

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
1,766
Points
2,000
D

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
1,766 2,000
Mimi mwenyew nina kesi inayofanana na yako, nmekazia
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,812
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,812 2,000
Matokeo ni zero maana ake nini sasa...??? Yani dunia ya leo umpe mimba mwanamke asikwambie mpaka mtoto afike karibu miaka miwili ndo asemee.. Hakuna kitu kama hicho jombaa umepoteza hela zako buree.. Hayo mambo wanayo wazungu tu
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,254
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,254 2,000
wengine mnahonga majibu yawe negative
 
Forum statistics

Threads 1,335,206
Members 512,271
Posts 32,499,030
Top