Kupima DNA (Kwa anaetaka kujua)

tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
Ulishachukua watoto wangapi mpaka sasa?
 
Kapime uwe na uhakika maisha yenyewe yapo wapi unapasuka kichwa kisa kuna li demu limekuona we bwege wa kusingiziwa mtoto.
Hongera sana, unamleta kwenye familia anakuwa tofauti na watoto wanyumbani kumbe tabia zake za huko kwababa yake
 
Kuna mmoja nalea wa nje yupo tofauti sana kitabia hata sura hafanani na ndugu zake au mimi, vidole vifupii hata mama yake hana vya namna hii kuna haja ya kupima tu hapa
 
tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
Ukiskia uboya ndo huo
 
Kuna mmoja nalea wa nje yupo tofauti sana kitabia hata sura hafanani na ndugu zake au mimi, vidole vifupii hata mama yake hana vya namna hii kuna haja ya kupima tu hapa
Kiongoz mbona km unataka kuleta fujo ndan ya familia, tatizo nin kwani?
 
Huwa najisemea tu, siku serekale itoe ofa ya kupima DNA kwa sh 5000 tu. Serekale itapaa kimapato siku hiyo na singo mazaz wataongezeka kwa spidi ya juu haijawah kutokea
 
kwani mkuu mtoto alifanana nawewe hata vidole,maana kwa wengine tayari ilikuwa ni sababu ya kukataa bila hata DNA
 
Alianza kuniharibia kwa mke wangu eti atakuja kunibwagia mtoto hapa home then asepe zake nikamplease nikamuambia nataka niweke sysytem ya kumpa hela dogo kila mwisho wa mwezi ili nae ale maisha kama hawa wenzake nyumbani ila sharti lazima tukapime kwanza la sivyo tusijuane.
kwani mkuu mtoto alifanana nawewe hata vidole,maana kwa wengine tayari ilikuwa ni sababu ya kukataa bila hata DNA
 
Hivi dna majibu yanatoka baaada ya siku ngapi... Na wanachukua damu au kitu gani kuzichek...

Nini na nin wanpima.?

Na kwa nin process zake huwa ndefu kupata kibali...
 
Back
Top Bottom