Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

Haahaaa namtania mwamba apo ni joking tu..jamaa yupo safe kongore kwake..
Watu wachache sana wenye ujasiri wa kupima kwa hiari kama mwamba apo
Mkuu haya maisha matamu sana ukiwa mzima..

Nenda hospitali ukaone wenye chronic diseases ndiyo utajua thamani ya afya njema.
 
Sisi wengine ni kama vinyau vya kuzungu ili kukichoma sindano lazima ukifunge kwenye cage
Acha uwoga Mzee wangu.

Kiukweli Mimi nilikuwa Sina Raja kabisa mwanzo hasa nikiskia stori Za ukimwi
 
Acha uwoga Mzee wangu.

Kiukweli Mimi nilikuwa Sina Raja kabisa mwanzo hasa nikiskia stori Za ukimwi
Mara ya kwanza nimejitosa kupima kwenye maonesho ya sabasaba mwaka nimesahau..
Yule dada kabla hajanipa majibu akaniuliza umewai kushiriki tendo bila Kinga🏊🏊🏊🏊,nikamjibu ndio.
Akasema hongera vipimo vinaonesha upo salama lakini usirudie tena kuwa muangalifu cheza kwa step
 
Kazi Kazi Mzee wangu.

Yaani saivi najiona Niko poa Sasa stress ipo kwenye Hela Sasa sio kupima Tena
 
Kazi Kazi Mzee wangu.

Yaani saivi najiona Niko poa Sasa stress ipo kwenye Hela Sasa sio kupima Tena
Afya ni mtaji..
Tuweke mitego ili pesa zije japo huwa zinakuja na mengi, mtego hauchagui windo
 
Back
Top Bottom