Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,128
- 6,121
- Thread starter
- #21
Ikiwa kwenye C majibu ndio ipo inakuwaBaada ya kufika miaka 35 plus ndiyo nimekuja kugundua ni kwa namna gani afya ni mtaji mkubwa sana.
Ukipata chronic diseases na ukawa bado unajitafuta ujue ndiyo basi tena.
NB: Hiko ni cha kwangu mkuu.