Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,128
Reaction score
6,121
Habari wakuu.

Kuna wakati flani nilikuwa naona nyuzi ya UKIMWI Sana hapa jukwaani asee ilikuwa inanikata Sana sababu najua nilikuwa nauza mechi Hadi nikapewa ugomjwa WA gono na demu mmoja hivi video Queen ilikuwa (2023) kiufupi nakula bila kondom sababu nikitumia kondom nachelewa kumwaga wazungu Sana.

Sitelezi kizembe nakuwa na Futa langu special la phamans linaitwa lubricant hapa nachagua flavour Tu.

Juzi hapa nikasema Leo naenda kupima Afya yangu.

Kufika mapokezi nikamwambia docta nimekuja kupima UKIMWI asee alistuka akaanza kunihoji maswali pale nikamwambia Hadi kuja hapa nimejiandaa kiakili hivyo kila kitu nakijua.Akaniuliza swali Zuri mara ya mwisho kupima UKIMWI ilikuwa ni lini nikamwambia miaka miwili iyopita ambayo ni Kweli kabisa.

Akanipa kikaratasi akaniambie niende Kwa docta maabara.Kabla ya kwenda akampigia simu kujua kama yupo.
Basi bana nikaenda Kwa docta pale.

Sasa kufika jamaa ananiambia ndio umekuja Wacha nikuchek kwenye mfumo daah nilistuka kimtindo nikasema kwa Moyo jamaa anajua nimekuja kuchukuwa DAWA nini?,inabidi nimpe Ile karatasi.

AKuchukuwa damu pale kwenye kidole akaniambia nisubiri jibu baada ya dakika 20 atanistua nikatoka nnje nikasuburi kama Kwa dakika Zaidi ya 20 pale lakini docta hajanistua lakini kimtindo nilikuwa na hofu asee.Nikamfata na kumuuliza kaka inakuwaje akaniambia subiri nakuita asee alizidi kunichanganya basi Bana kama dakika kadhaa akaniita akaniambia kaka inabidi nichukuwe damu kwenye MSHIPA mkubwa ili nipate majibu ya uhakika nikamwambia fresh.Akachukuwa damu pale Kwa sindano akaweka kwenye kichupa kidogo akaniambia nisubiri kama dakika 5 hivi.

Baada ya kusubiri akaniambia mwanangu uko fresh kabisa.Asee nilicheka Sana mana nikikumbuka nilipokuwa napita sio mchezo.Akaniuliza kaka unacheka Sana nini shida nikamwambia kaka kua uyaone.Akanipa karatasi kaniambia nenda pale mapokezi Kwa Yule docta uliyemkuta mwanzo mpe hii.

Wakuu tukapime Afya sio kuogopa alafu UKIMWI sio ugonjwa ambao utakuwafanya uishi bila furaha.

Wale wanangu wa kuteleza kama Mimi asee tumieni FUTA au kilainishi chochote husaidia Kwa asilimia 100 lakini sio Kwa magonjwa kama GONO
 
FB_IMG_17519056178684112.jpg
 
Unapaswa urudi tena kupima after 3months kuna window period dogo
 
Back
Top Bottom