Kupigiana simu kwa wanandoa

Marekebisho kidogo upendo wa agape sio upendo wa kimahaba yaani kati ya wapendanao kama mume na mke

Turudi kwenye mada; ninachojua mimi meseji ni mojawapo ya njia ya mawasiliano, jambo la msingi ni wewe kumpigia ikiwa unaona kwako kupiga simu ndo njia bora ya mawasiliano.

Wanawake sijui mnafeli wapi, mnakuwa wabahiri sana na wabinafsi. Yeye akiishiwa dk basi wewe mpigie mbona ni ishu ndogo sana bidada
 
Ushauri mzuri sana, i wish ungemfikia pia wife... naufoward kama ulivyo aupate...
 
Unazungumzia muvi gani hii mkuu!??
 
Mimi nilikuw hvyo ila nmebadlishwa
Nakuomb dm uje nkusaidia hilo tatzo mkuu
 
Aiseee....!!!

Mimi mvivu kuwasiliana mara Kwa mara pia na ni Ke. Nimevumiliwa nimechokwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787], nimesemwa najikuta najitahidi ila siwezi.

So naweza sema labda kapata wa kumpigia na kumtext atakavyo au kaamua kunizoea.

Nawasiliana kukiwa na shida maalum inayohitaji kufanya hivyo na pia ni kutuma tu text, Kwa kweli kupiga ni mara chache mnoooooooo yaweza mwezi upite sijapiga.

Jamani muda wa kumisiana upatikane pia
 
Hyo ni life ya kila siku. Might seem as a movir for u, pole.
Pole ya nini tena kiongozi, huo upotoshaji wako wa kimandazi ku win akili za wadada wahapa Jf unazani zinanipa shida!?? Eti poleee, tuliza usimbe wako huko.
 
Nazidi kujifunza kila siku. Wengi wetu hii mitandao tunaichukua kama kuenjoy na tunapita lakin naamin kama uko conscious utazidi kubadilisha mtazamo juu ya mambo mengi.

Nilikuaga mtu mwenye pride sana yani ile ile. Nilikua kama wewe ndugu mleta mada. Kungoja kutumiwa message..kungoja kupigiwa..na tena namaind kabisa nisipotafutwa..tables turned aisee. Mbona nilinyooka.

Nikajifunza maturity is a very complex topic. Kuna mengi ya kubeba na kuacha along the road. Kuna mwandish aliandika akasema kama unaona mtu umeshasema juu ya jambo fulan na habadiliki badilika wewe.

Mpaka kumkubali kuwa nae it means alifit kwenye vigezo vya kuwa mume wako. Na uliahidi meng madhabahuni dada mzuri. Kwaiyo hii ndo katika shida yenyewe. Naomba umpende kama alivyo msela..usimuache. change your perception. Unapata vocha mpigie..muongee. inakuuma ongea nae mwambie. Asipobadilika badilisha mtazamo. Ona ni kitu cha kawaida kabisa. Kama anafanya majukumu yake na kukupenda ila hilo tu ndo dhaifu..basi mbebe...ndo dhaifu lake. Kama katika 100% ana 80% hiyo 20% ndo wewe sasa utaicover..

Usimfananishe na wanaume wengine eti kisa umeona fulan anapigiwa au flani alikua anampigia mpenzi wake basi na wewe unataka ufanyiwe ivo. Love sio pie (3.14) kwamba inafanana duniani kote. Kila mmoja ana namna anavyoexpress penz lake. Nakuaminia dada....be smart, be unique. Be more than ruby.
 
Mapenzi yapo moyoni usifanye vitu vidogo kuharibu penzi lenu kama Hapigi mpigie weye
 
Umeachwa we umeachwaaa[emoji1787][emoji1787] @Lodymusic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…