kupewa vyakula na mke wa mtu

nina mke mtoto housegirl sijui ana maana gani kuleta nyumbani mke wangu namuuliza anasema huyu ni mtu mzima kwani hajui kuwa ni kosa

Duh. Kama vipi mrejeshe kwenu (ikiwa ni mbali na hapo). ataleta balaa
 
Be a man thats your home na unaouwezo wa kuweka sheria,kwanza ahame cz umr huo si wa kukaa nyumbani,na mpge marufuku mwenye mke akijua hata elewa kma mdogo wko ndo analetewa pke yke cz kinaletwa kwako,pia c ajab anawekewa libwata trtbuuu mara cku na mwanao analishwa msosi c ndo itakuwa blaa... hlo bomu likilipuka haponi mtu hapo
 
Niaka 30 anaishi kwako hee libaba lizima? leo linamendea mke wajiran ako kesho atafata wako fukuza haraka!
 
Back
Top Bottom