nina mke mtoto housegirl sijui ana maana gani kuleta nyumbani mke wangu namuuliza anasema huyu ni mtu mzima kwani hajui kuwa ni kosa
habari wa ndugu
nina mdogo wangu nyumbani ni wa kiume (30yrs) kuna tabia ya tofauti nimeiona nayo ni kupewa vyakula na mazawadi na mke wa jirani yangu wakati mwingine anaenda huko na kuongea yani hii tabia inanitia wasi wasi haswa hili swala la kupewa chakula nakuta mahot pot maziwa nk nyumbani kwangu jana nimemuuliza kwa nini unapokea vyakula toka kwa mke wa mtu alinijibu kama naletewa nifanyaje? nikatae?nikajaribu kumwelewesha sio vizuri badaye nikatafuta rafiki yake na kumuuliza huyu dogo ana mahusiano gani na huyo mke wa jirani yangu yule dogo akaniambia yani mpaka mapilau matunda nk anagewa na huwa anaingia mara kwa mara kwa huyo mke wa mtu sijui anafanyaga nini da hebu naombeni mawazo yenu wadau namna ya kumsaidia huyu dogo yeye anakataa hana ishu naye but mimi siamini kama vyakula anagewa tu ushahidi sina ila nataka kumsaidia dogo asije akafa kijinga.asanteni
mimi nitachangia mcheleanza kabisa kuandaa msiba..
mimi nitachangia mchele
anatambua sema anataka ushahidi wa hoja.
ajifanye ana wageni cku moja amwambie dogo akalale kwa jirani halafu akiamka asubuhi utapata jibu kwa jinsi atakavyokuwa
kuna jamaa naye alikufa kwa kuwekewa sumu kwenye chakula! nayo ilikuwa hivi kila siku mke wa mtu anamletea chakula kumbe mwenye mali alishashtuka, siku moja mwenye mali akawahi nyumbani na kukuta mke wake amemuwekea jamaa chakula kama kawaida basi mwenye mali akafungua pot akaweka sumu halafu akarudi sebuleni kuendelea na mambo yake. basi mke bila kujua akachukua chakula akampelekea jamaa kama kawaida.kesho yake watu wakazika...True story broo kama si 0713 basi ni kifo anatafuta!habari wa ndugu