Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
huku mtu ana mwanamke lika mkoa watoto lukuki hahahaahahahh atoke na yupi aache yupi lawama khaaaa sasa kikwete atatoka na mke au mtoto yupi????????
hahaha na kweli!
huku mtu ana mwanamke lika mkoa watoto lukuki hahahaahahahh atoke na yupi aache yupi lawama khaaaa sasa kikwete atatoka na mke au mtoto yupi????????
Kumbuka 2 years kabla jaluo hajawa US senetor, Michelle alikuwa anataka ku-file for a divorce..................
![]()
Kwa Watanzania hii haina maadili....imagine Salma ashikwe hivyo!
Ikiwa ameshikwa na Jakaya hamna noma na tunapaswa kuheshimu. Nani hajui Jakaya ni mume wa Salma?Maadili yapi ya watanzania yanakataza hiyo?
yes we can Evelyn Salt !
Uliwahi kuona akishikwa hivo na JK?
![]()
Kwa Watanzania hii haina maadili....imagine Salma ashikwe hivyo!
Yes....unataka nikwambie ni wapi na lini?
![]()
Kwa Watanzania hii haina maadili....imagine Salma ashikwe hivyo!
Mume mwema huyooooo!
Mapenzi hayaigwi jamani. Na kila uhusiano una challenges zake, including hawa. Kuna mtu ana mapenzi ya ukweli na ya dhati na hakumbuki kubusu ama kushika kiuno hadharani. Na yupo ambae anampiga mkewe sirini ama anamuibia hela mumewe na ukiwakuta hadharani hautaamini.
Kuna mtu ni serial cheater lakini at the same rate anayoonyesha mapenzi kwa mwenza wake ndo anafanya hivyo hivyo kwa wa nje! Hukawii kukuta mama salma anapendwa na mumewe kuliko huyu michelle. You never notice what you have until you loose it all, just saying
Yes iam!
Stop please.....mimi najuwa hapa ndio mwisho
![]()
Kwa bongo wanavyoendekeza na wasivyo thamini ndoa zao.
Mh better living single.lol!
Teh be my obama plz!!!!