Kupendwa raha jamani

Kupendwa raha jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,878
kupendwa raha jamani asikwambie mtu ahsante obby kwa style zenu
 
Attachments

  • kupendwa raha.jpg
    kupendwa raha.jpg
    17.7 KB · Views: 2,979
Upendo ni wa pande zote mbili yaani wanapendana.
 
Mapenzi hayaigwi jamani. Na kila uhusiano una challenges zake, including hawa. Kuna mtu ana mapenzi ya ukweli na ya dhati na hakumbuki kubusu ama kushika kiuno hadharani. Na yupo ambae anampiga mkewe sirini ama anamuibia hela mumewe na ukiwakuta hadharani hautaamini.

Kuna mtu ni serial cheater lakini at the same rate anayoonyesha mapenzi kwa mwenza wake ndo anafanya hivyo hivyo kwa wa nje! Hukawii kukuta mama salma anapendwa na mumewe kuliko huyu michelle. You never notice what you have until you loose it all, just saying
 
Upendo la dhati halijifichi ! mpaka watoto wa Obama wanajua baba na mama wanapendana na wao wanajikuta wanawapenda wazazi wao.
 
Niulize tuu etii wakubwa wanamna hii nao hu-cheat?

"To know the enemy is half the victory"
 
Nkubaliana na King'asti kwa asilimia kubwa.

Lakini pia tujiulize hivi kweli mila zetu zinasemaje?? je zinaruhusu kapo za kushikana kiuno njiani?? Na je rais wetu dini yake inamruhusu?? Nijuavyo mimi na hapa niko tayari kukosolewa Waislamu wako na maadili sana ya namna ya kujistiri hadi namna ya kuonekana njian kwa mume na mke. naonaga wanaruhusiwa kushikana mikono lakini kiuno sina hakika nalo. Istoshe mila zetu za kiafrika kushikwa kiuno na mwanaume njian haijakaa vyema ingawa hatujakatazwa. Mikono huwa tunashikana na mtu hawez kuhoji, kukumbatiwa hadharani hii haijakaa sawa ndo maana hata kwenye harusi huwa wengine wanashindwa kumbusu bi harusi kwa kumkumbatia la wanaishia kumshika mkono tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama mapenzi yanapimwa kwa picha, basi hiyo ya Obama na mkewe ni the best 'kapo'.
 
Upendo la dhati halijifichi ! mpaka watoto wa Obama wanajua baba na mama wanapendana na wao wanajikuta wanawapenda wazazi wao.
huku mtu ana mwanamke lika mkoa watoto lukuki hahahaahahahh atoke na yupi aache yupi lawama khaaaa sasa kikwete atatoka na mke au mtoto yupi????????
 
Kumbuka 2 years kabla jaluo hajawa US senetor, Michelle alikuwa anataka ku-file for a divorce..................
 
Mbona hata hayo ambayo mila, mala Dini zinaruhusu hatuyaoni? Msikimbie ukweli na kujificha chini ya kichaka cha Mila na Dini, Waafrika hatujui kupenda, wengi wanadhani upendo ni huo wa usiku baada ya kuzima taa. Ndio maana wenzetu wakiona mambo hayo madogo madogo hayapo hawakawii kuvunja uhusiano lakini sisi mtu anang'olewa meno bado anadai ameolewa, duu? Wewe unayemsemea J.K na dini yake mimi nimemuona akimbusu mkewe kwenye mkutano Fulani wa CCM.
Nkubaliana na King'asti kwa asilimia kubwa.

Lakini pia tujiulize hivi kweli mila zetu zinasemaje?? je zinaruhusu kapo za kushikana kiuno njiani?? Na je rais wetu dini yake inamruhusu?? Nijuavyo mimi na hapa niko tayari kukosolewa Waislamu wako na maadili sana ya namna ya kujistiri hadi namna ya kuonekana njian kwa mume na mke. naonaga wanaruhusiwa kushikana mikono lakini kiuno sina hakika nalo. Istoshe mila zetu za kiafrika kushikwa kiuno na mwanaume njian haijakaa vyema ingawa hatujakatazwa. Mikono huwa tunashikana na mtu hawez kuhoji, kukumbatiwa hadharani hii haijakaa sawa ndo maana hata kwenye harusi huwa wengine wanashindwa kumbusu bi harusi kwa kumkumbatia la wanaishia kumshika mkono tu.
 
huku mtu ana mwanamke lika mkoa watoto lukuki hahahaahahahh atoke na yupi aache yupi lawama khaaaa sasa kikwete atatoka na mke au mtoto yupi????????

Wewe unamsema mzee wa mikasi eeh! Angalia mdomo wako swetee, nasikia ana ujuzi wa nyukilia yule shababi
 
Nkubaliana na King'asti kwa asilimia kubwa.

Lakini pia tujiulize hivi kweli mila zetu zinasemaje?? je zinaruhusu kapo za kushikana kiuno njiani?? Na je rais wetu dini yake inamruhusu?? Nijuavyo mimi na hapa niko tayari kukosolewa Waislamu wako na maadili sana ya namna ya kujistiri hadi namna ya kuonekana njian kwa mume na mke. naonaga wanaruhusiwa kushikana mikono lakini kiuno sina hakika nalo. Istoshe mila zetu za kiafrika kushikwa kiuno na mwanaume njian haijakaa vyema ingawa hatujakatazwa. Mikono huwa tunashikana na mtu hawez kuhoji, kukumbatiwa hadharani hii haijakaa sawa ndo maana hata kwenye harusi huwa wengine wanashindwa kumbusu bi harusi kwa kumkumbatia la wanaishia kumshika mkono tu.

Kuna tofauti kubwa ya ustaarabu na unafiki. Kuna vitu wadada mkiwa na hamu ya kuolewa huwa mnavifanya hamvijui, mkishaolewa mkakutana navyo full kulalamika:

1. Mpododo wa foleni, huo ni ustaarabu?
2. Kuoa tutoto nao ni ustaarabu?
3. Kababu ka miaka 63 kwenda kuoa kabinti ka umri wako nao ni ustaarabu?

Kisa cha kutopigana majibusu harusini ni kuepusha ugomvi tu toka kwa wake wengine.

Mila za kiafrika zinakataza kushika kiuno?

Hivi wewe, umeshawahi kusikia ngoma ya Wasukuma inaitwa SAGULAGA? Wazaramo yanayo ya kwao inaitwa VANGA, hiyo ni kufru unaposikia wanamwaga radhi, sasa sijui mila gani za Wazungu zinaruhusu kudundana mpododo ngomani tena bila hiari ya mwanamke
 
Back
Top Bottom