kumbe mkuu kuna wakati hua unaandika kisw hahaStill, binti katisha sana.
Kwa vile ameshakupenda na wewe umeshampenda, anza kumpa plans za kuishi hapo mjini. Kama unaweza tafuta kiwanja cha makazi mpeleke. Mwambie ukweli kuwa hata kama si mimi nitakayekuwa mkeo, kiwanja hiki kitakufaa wewe na familia yako utakayokuwa nayo huko mbeleni. Mwambie pia, financial security is all about your life. Mpe ukweli, kama kumwambia "toa hela utengeneze hela" mapenzi yapo na yataendelea kuwepo but the money you spend without making more, its a risk game.
Usijali, nikiwa mitaa hiyo nitakutafuta. Bahati mbaya soda situmii its a risk game also (risking health game). But ukweli ndo huo usimchekee ukiwa unaongea, chukulia umeegemea kifuani kwake and you are serious mnakagua hicho kiwanja...then mpe muda afikirie, don't push him. Use the so called "The politics of love".asante mkuu ..yaani una akili kama kitoto cha paka ungekuwa karibu na mim ningekununulia soda..maana unaushauri mzuri sana watu kama nyie wenye mawazo chanya nawatafuta sana...
Usijali, nikiwa mitaa hiyo nitakutafuta. Bahati mbaya soda situmii its a risk game also (risking health game). But ukweli ndo huo usimchekee ukiwa unaongea, chukulia umeegemea kifuani kwake and you are serious mnakagua hicho kiwanja...then mpe muda afikirie, don't push him. Use the so called "The politics of love".
kumbe mkuu kuna wakati hua unaandika kisw haha
haha seriously i never realize that until today,,by the way i loove your engl,,,maneno yako heavy and interestingHaha. Wacha hizi mambo boss.
haha seriously i never realize that until today,,by the way i loove your engl,,,maneno yako heavy and interesting
Mmmh!! Kama c single mother bas mtarajiwa.Wewe angalia PESA bwana achana na POMBE zake atajijua, kula pesa yake akiishiwa piga kibuti, tena sasa hivi tafuta chip nyingine maalum kwa kuwasiliana naye tu ili ukishamkomba uitupe asikupate tena, usiache fursa atiiiiii kwani ulienda Dar kuangalia Maghorofa hebu changamkia fursa hiyo, mbulaaaaaaaa
poti mbona umeguna?😀Mmmh!!
Tema mate kwenye chupa ya bia nusu chupa kisha weka pombe nusu iliyobaki then fanya ujanja ainywe na baadae ajue alichokunywa! AtaachaHabari zenu waungwana..
Mimi nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana classmet wake waliosoma pamoja alikuja kumtembelea huyo rafiki.. Jamaa akanimezea mate akamuuliza jamaa huyo binti ana mtu?? Jamaa akamwambia hana..
Sasa huyo rafiki mgeni anataka kuwa na mimi kwenye mahusiano na ni mgeni hapa mjini alikuwa anafanya kazi mkoani akaacha kasema kaja huku kuangalia fursa za biashara afungue biashara.
Sasa tatizo linakuja hapa jamaa anakunywa pombe kama alizaliwa na pombe hajali kama pesa zitaisha na ana miezi mitatu tu kesha tumia zaidi ya milion sita ...hajali mahali popote giza litakapomkuta hapohapo ndo anatafuta lodge ya kulala ..ni mkweli mpaka kupitiliza ...huyo mgeni kasema aliachwa na mpenzi wake baada ya kumhoji kwanini unakunywa pombe hivo??
Sasa waungwana naombeni mnishauri nimfanyeje jamaa aache pombe...ili tuwe na malengo yenye mafanikio...
Ushaur wako umenitisha!poti mbona umeguna?😀
usitishike uwe na amani, tunashauri kulingana na thread ilivyo, kwikwikwikwi tulia mie wa kawaida sanaUshaur wako umenitisha!
Kaona kuna fursa lazima ajitutumue!kumbe mkuu kuna wakati hua unaandika kisw haha
Binti wa kirombo unamvuto lakin isikute akikuona ndio stress zinazidi nawe umemganda!
mh!!my dear be very carefull na watu wa stail hiyo i nilikua nae na hakuwahi kubadilika sema mimi nakata tamaa mapema so nilimwacha.Mtu mwenye hekima hawezi kujichukia hivyo hata kama ni nini sasa kama matumizi ni hayo si shida hiyo?mh!asante inaonekana unaonekana akili my dear...kilichomfanya aachane na huyo mpenzi wa zamani ni alikuwa anamdanganya kumbe ana mchumba huku anamchuna jamaa(mgeni) , amepanga huko temeke sema anadai ati kuwa hao watu anaowatafuta kwa ajili ya fremu wanamwambia wakutane jion siunajua tena wafanyabiashara muda wao wanajali sana ,,,hapo unakuta ameonana nae saa mbili usiku anaona eti usumbufu kwenda temeke kwa ajili ya usalama wake na usumbufu wa daladala anaamua kulala lodge...