Kupendwa na mgeni wa rafiki yako

Kupendwa na mgeni wa rafiki yako

Habari zenu waungwana..

Mimi nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana classmet wake waliosoma pamoja alikuja kumtembelea huyo rafiki.. Jamaa akanimezea mate akamuuliza jamaa huyo binti ana mtu?? Jamaa akamwambia hana..

Sasa huyo rafiki mgeni anataka kuwa na mimi kwenye mahusiano na ni mgeni hapa mjini alikuwa anafanya kazi mkoani akaacha kasema kaja huku kuangalia fursa za biashara afungue biashara.

Sasa tatizo linakuja hapa jamaa anakunywa pombe kama alizaliwa na pombe hajali kama pesa zitaisha na ana miezi mitatu tu kesha tumia zaidi ya milion sita ...hajali mahali popote giza litakapomkuta hapohapo ndo anatafuta lodge ya kulala ..ni mkweli mpaka kupitiliza ...huyo mgeni kasema aliachwa na mpenzi wake baada ya kumhoji kwanini unakunywa pombe hivo??

Sasa waungwana naombeni mnishauri nimfanyeje jamaa aache pombe...ili tuwe na malengo yenye mafanikio...

Kakumezea mate sawa... kakupata sawa... sasa hivi unataka kumbadilisha? Kwani wewe ni mpenzi wake?
 
Vizia hiyo pombe yake changanya maziwa kidogo hatatamani pombe tena
Valentina za siku?,mbona ukaniacha solemba? Nauliza hivii? ni kweli hiyo concoction ya kuchanganya pombe na maziwa inafaa?,naomba unisaidie sababu pombe nakunywa na sasa nataka kuacha tafadhali.
 
Wahi hiyo Pension kabla haijaisha afu usepe......Pombe haichwi kirahisi rahisi hivyo
 
Mbona mwataka kutuongezea idadi za ze ndi ndi ndi!

QUOTE="binti wa kirombo, post: 16229872, member: 366220"]Habari zenu waungwana..

Mimi nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana classmet wake waliosoma pamoja alikuja kumtembelea huyo rafiki.. Jamaa akanimezea mate akamuuliza jamaa huyo binti ana mtu?? Jamaa akamwambia hana..

Sasa huyo rafiki mgeni anataka kuwa na mimi kwenye mahusiano na ni mgeni hapa mjini alikuwa anafanya kazi mkoani akaacha kasema kaja huku kuangalia fursa za biashara afungue biashara.

Sasa tatizo linakuja hapa jamaa anakunywa pombe kama alizaliwa na pombe hajali kama pesa zitaisha na ana miezi mitatu tu kesha tumia zaidi ya milion sita ...hajali mahali popote giza litakapomkuta hapohapo ndo anatafuta lodge ya kulala ..ni mkweli mpaka kupitiliza ...huyo mgeni kasema aliachwa na mpenzi wake baada ya kumhoji kwanini unakunywa pombe hivo??

Sasa waungwana naombeni mnishauri nimfanyeje jamaa aache pombe...ili tuwe na malengo yenye mafanikio...[/QUOTE]
 
Hapan mi sijamkagua...yeye ndo anasema nimeshatumia milion hizo anapenda ukweli hatari sijawahi kuona mwanaume mkweli kama yeye ..na classmate wake ndo benki yake anamuhifadhia hela ... akitoka benki kutoa

Kukutajia mpaka kiasi alichotumia tangu, ni aidha anajutia addiction yake ya pombe na matumizi ya kiarabu au, anapenda sifa. Hakuna namna ingine yoyote unaweza kutaja matumizi yako bila kuulizwa.
 
We umechanganyikiwa na hou mtaji wa biashara na unaona kama opportunity ya kutokea. Ilajaribu bahati yako kama mtaweza ku coupe!
 
Niitie tafadhali sitanii sababu kila siku nakata mzinga mzima wa Johnie walker black label, kwa kweli hali sio nzuri nimekuw mtumwa wa whiskey.
Sasa fanya hivi...

Chukua maziwa ya mama anaenyonyesha tia kidogo kwenye hiyo pombe yako. Ila uwe karibu na choo na maji... Japo hii ilitakiwa mtu akufanyie pasipo wewe kujua
 
Sasa fanya hivi...

Chukua maziwa ya mama anaenyonyesha tia kidogo kwenye hiyo pombe yako. Ila uwe karibu na choo na maji... Japo hii ilitakiwa mtu akufanyie pasipo wewe kujua
Sasa pa kuyapata maziwa ya mama anaenyonyesha ndio kazi na kuyameza mama yaaaaangu,sijui kama nitaweza,sijui unanisaidiaje?
 
Binti wa kirombo aah nini? Binti wa kirombo.
Ok tayari nimeshajua hutaki kuchukua pesa ndogo unataka jamaa aache pombe aikuze pesa.
 
Huna hata jirani anaenyonyesha?
Wapo wengi tu lakini wengi wake za watu na hao wanaweza kufikiri nawamendea halafu naogopa marinda yakipasuliwa ni ulemavu,wasioolewa sasa nao naogopa vvu na pia wengi usafi ni tatizo dooh yaani njia panda,kwani wewe au huna mtu unaemjua anisaidie?nitalipia huduma kwa pesa nzuri tu.
 
Ha haa sasa hata kama ninae nitakupaje mie niko mbali!
 
Back
Top Bottom