MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Ngoja nikapate fegi .Mtu jibu unalo halafu unaanzisha thread ya kutuchosha
nyie na story za kusadikikaVizia hiyo pombe yake changanya maziwa kidogo hatatamani pombe tena
Hayanyie na story za kusadikika
ivi unajua pombe wewe?? sio maji yale eti useme sitosikia ladha imebadilika..
pombe ata akanyage nzi ntaisiikia ladha ime change kwaa mbalii
Mpe kikojoleo hichoHabari zenu waungwana..
Mimi nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana classmet wake waliosoma pamoja alikuja kumtembelea huyo rafiki.. Jamaa akanimezea mate akamuuliza jamaa huyo binti ana mtu?? Jamaa akamwambia hana..
Sasa huyo rafiki mgeni anataka kuwa na mimi kwenye mahusiano na ni mgeni hapa mjini alikuwa anafanya kazi mkoani akaacha kasema kaja huku kuangalia fursa za biashara afungue biashara.
Sasa tatizo linakuja hapa jamaa anakunywa pombe kama alizaliwa na pombe hajali kama pesa zitaisha na ana miezi mitatu tu kesha tumia zaidi ya milion sita ...hajali mahali popote giza litakapomkuta hapohapo ndo anatafuta lodge ya kulala ..ni mkweli mpaka kupitiliza ...huyo mgeni kasema aliachwa na mpenzi wake baada ya kumhoji kwanini unakunywa pombe hivo??
Sasa waungwana naombeni mnishauri nimfanyeje jamaa aache pombe...ili tuwe na malengo yenye mafanikio...