Kupendwa na mgeni wa rafiki yako

Kupendwa na mgeni wa rafiki yako

Akiacha pombe tu hatakumezea mate tena.

Tazama ile video ya nyimbo ya Davido inaitwa Dodo utanielewa vizuri.
 
kwanza unaonekana umri wako umeenda sana ndo mana unatafuta mume kwa pupa ulikuwa wap ol thoc dayz kuchagua had anaetokea yeyote we unakubal tu
 
500 mil ziliisha mpaka idris sasa hiv comedian.Mwangalie "classment" asije umbuka mjini hapa.
 
hawabadiliki nimempima kwanza hata ukimpigia simu hapokei...mara nyingi anakuwa baaa..nimeamua kumsheet
 
Hakuna mtu atakutengenezea mume, hebu mshape vile unataka naamini atabadilika, upweke unamsumbua huyo
 
kwanza unaonekana umri wako umeenda sana ndo mana unatafuta mume kwa pupa ulikuwa wap ol thoc dayz kuchagua had anaetokea yeyote we unakubal tu


wala umri wangu hujaenda niko na 23 ,,,,na wala ijampapaptikia...nina akili
 
wala kisicho riziki hakiliki.....hata ufanyaje...mtu kama huyo habadiliki...kuna watu ndo asili ya kwao
 
Back
Top Bottom