Huyo jamaa hakufai usipoteze mda wako nae.
Ngabu ameshafika hapo Nyumbani?Vizia hiyo pombe yake changanya maziwa kidogo hatatamani pombe tena
Hahaha. Dah we kweli mchaga. Yaani jamaa "kukumezea mate" tu, ushakagua mahesabu. Classment aangalie matumizi bana.
Vizia hiyo pombe yake changanya maziwa kidogo hatatamani pombe tena
bado naendelea kuamini hisia zangu kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya dhati bali watu wanaangalia mkwanja... "miezi mitatu ametumia kama milioni sita" hii ndio imekuvuta kwake.
kila la heri
Ye wooomi kumbe shida yako ni ndoa????? sasa basi olewa na huyo arawa mtakuwa mnakesha naye baa, maana ukipenda boga upende na ua lake, haika wae, kiruuuuuuuuuuu
Mmhuu, Hapa "Amekuzuga"!!siataona nataka kumuua wajameni...ila alisema kilichomfanya anywe pombe ni kukosa mshauri na mtu wa karibu wa kubadilishana nae mawazo akaona wanawake hawana maana akaona mke ndo pombe ila anahitaji mwanake wa kumbadilisha maisha yake
Okey basi kua nae karibu kama ni mtu wa kushaurika atabadilika. Kama umeridhika nae naamini ukitumia uanamke wako hutashindwana naesiataona nataka kumuua wajameni...ila alisema kilichomfanya anywe pombe ni kukosa mshauri na mtu wa karibu wa kubadilishana nae mawazo akaona wanawake hawana maana akaona mke ndo pombe ila anahitaji mwanake wa kumbadilisha maisha yake
Okey basi kua nae karibu kama ni mtu wa kushaurika atabadilika. Kama umeridhika nae naamini ukitumia uanamke wako hutashindwana nae
Umelipia hili Tangazo lakini ? watafurika pm hukojaman sio hela hata mim niko nazo huenda hata zaid ake...pesa ni nin kuliko upendo??
Naam bila kuchelewakweli eeh...kwahiyo nimwache asepe zake ...
Bt unampenda tayar hata kama hujaanza date naye. Mungu akufungue macho ya rohon uone; huyo si mume sahihi kwako; muache hata kama unaumia bt baadaye maumivu yataisha.Loooh..wala sijadate nae maana hata miezi mitatu bado haijaisha ya kufahamiana nae...nina hofu ya mungu..
Sio mume huyo my dear frnd. Usijiingize ktk jehanamu kabla hujafa. Utaona life ni mbaya. Hata kama ana sura nzur muache cz hiyo sura utaiona mbovu baadaye. Let him go. Hato kuwa responsible man to u. Muacheeee hata kama unaumiaMbulanaaae...wew unataka kunipeleka jehanamu gani wew ndugu ..kiruuu...sina shida na hela zake maana kwetu zipo na mim ninazo ...nahitaji upendo wake kama atanifaa kuwa mume..pesa si kila kitu unaweza kuwa na pesa lakin huna mani wala furaha za kazi gani?/