Kupendwa kwa sababu ya fedha

Kupendwa kwa sababu ya fedha

Jamii ya Kiafrika ni jamii ambayo imetawaliwa na changamoto kibao ambazo utatuzi wake ni fedha.

Na mara nyingi jamii yenye shida kibao karibu kila kitu huwa kinageuzwa fursa mradi tu mtu aweze kupunguza shida zake.

Na ndio maana ni afrika pekee ambapo hata kuulizia njia tu mtu anataka umlipe, so kuna muda tusiwalaumu sana wanawake kwa tabia yao ya kudanga maana ni mazingira na umasikini uliotamalaki kwenye bara hili umewa shape kuwa hivyo walivyo.

Kikubwa waache utapeli tu.
Nmependa ulivyomalizia
 
Siku hizi wanawake wanawaza maslahi tu.....kazi haiwalipi....kama inawalipa basi haikidhi mahitaji yao....so wanaamua ktumiaa papuch kupata pesa

Mimi kun dada nlchukua namba
Sijatongoza
Hatujakaa chini kujuana
Hata majina htujatambuana vzuri
Akaomba elf 20 akisema anadaiwa

Nikampa jibu...."date na Biko"
 
Hapo sio kwamba unakuwa umependwa ila umefanywa buzi. Mtu akikupenda anakupenda kivyovyote
si kweli hata mwanamke akupende vipi usipoweza kumtunza na haoni uelekeo lazima mapenzi yapungue...,mwanamke anafata vitu viwili..mapenzi na maslahi yake ya maisha ya kawaida
 
Kama ingekuwa hivyo maskini wasingeoa
hapana wameoa kwa sababu ya pesa iliyopo wao inawatosha na wameridhika tofautoisha kati ya masikini na mtu anayekua na pesa ya kumtunza mwanamke.....hivi mfano nyumbani hali ngumu hata pesa ya unga hakuna hayo mapenzi yataenda kweli?..pesa lazima iwepo
 
hapana wameoa kwa sababu ya pesa iliyopo wao inawatosha na wameridhika tofautoisha kati ya masikini na mtu anayekua na pesa ya kumtunza mwanamke.....hivi mfano nyumbani hali ngumu hata pesa ya unga hakuna hayo mapenzi yataenda kweli?..pesa lazima iwepo
Hivyo vitu vipo hata nyumbani, mbona kuna watu wanaacha maisha mazuri ya nyumbani wanaenda kuishi maisha magumu unawezaje kusema mtu kama huyo amefuata pesa? Mtu anakuwa anampenda mtu. Ni kama vile kazini kuna mshahara na bonus, pesa ni bonus
 
Back
Top Bottom