Kupendwa kwa sababu ya fedha

Kupendwa kwa sababu ya fedha

Jamii ya Kiafrika ni jamii ambayo imetawaliwa na changamoto kibao ambazo utatuzi wake ni fedha.

Na mara nyingi jamii yenye shida kibao karibu kila kitu huwa kinageuzwa fursa mradi tu mtu aweze kupunguza shida zake.

Na ndio maana ni afrika pekee ambapo hata kuulizia njia tu mtu anataka umlipe, so kuna muda tusiwalaumu sana wanawake kwa tabia yao ya kudanga maana ni mazingira na umasikini uliotamalaki kwenye bara hili umewa shape kuwa hivyo walivyo.

Kikubwa waache utapeli tu.
Hiyo point kidume .wanawake sisi ndo walimu wao ko kuwapa pesa ni muhimu pia kazi na dawa
 
Nimeipenda hii

kikubwa waache utapeli tu, wafahamu kabisa wakitaka kula wakubali kuliwa, sio unagharamika weee halafu unaliiita limtu likutembelee geto linaanza kuleta visababu vya kipuuzi.
 
Nilipokuwa naanza hizi mambo nilikuwa namfanya mwanaume kama ndo baba kwangu(nadhani coz sijawahi pata mapenz toka kwa baba alikufa ningali mdogo a k a mchanga) nilikuwa nampenda mwanaume toka moyoni ndani kabisa,sikuwahi nyanyua mdomo wangu ati NAOMBA HELA ...NOO.Nilivyokuja umizwa kisenge aisee...ushawahi mwona kitimoto akikoswa rungu LA kichwa anavyotimka.I started to be a GOLD DIGGER!

I LIKE ITTTTTTTTTTTTTTTTT...….. 😍😍😍😍😍😍
 
Utaachwa Mkuu, wako baadhi wana mapenzi ya kweli lakini sehemu ya jamii siku hizi na mitandao inasaidia sana kuwajaza ujinga baadhi ya wanawake.

Kutokana na changamoto za maisha au ugumu wa utafutaji,imepelekea mapenzi ya kweli kupotea.Unaweza kufikiri unapendwa kweli,kumbe unapendwa kwa sababu unalipa bill.Swali la kujiuliza,pale utakaposhindwa kulipa bill itakuwaje?Tuwe makini katika kutafuta wapenzi....
 
Money runs life.Love runs relationships.
Kutokana na changamoto za maisha au ugumu wa utafutaji,imepelekea mapenzi ya kweli kupotea.Unaweza kufikiri unapendwa kweli,kumbe unapendwa kwa sababu unalipa bill.Swali la kujiuliza,pale utakaposhindwa kulipa bill itakuwaje?Tuwe makini katika kutafuta wapenzi....
 
Hahahaha,, pole sana naona umefanywa wewe ni project(mradi) toa pesa hizo ipo siku penzi litachanganya mbeleni uko
 
Back
Top Bottom