funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,650
- 21,522
Kuna demu.nilikutana nae dukani tulikuwa tunanunua jenereta la ofisi. Nikamtokea ila nikamdanganya mie fundi jenereta na akanikubali mpk nikala mzigo baadae akaja kugundua kuwa na cheo kikubwa akaanza mizinga kama kawaida mara simu imepotea. Mwanzo alikuwa anaomba hela ndogo tu nauli n.k