Habari wana jamvi,
Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, ninashinda nalia peke yangu, sometimes siwezi kula naona niko peke yangu duniani.
Tumekuwa na migogoro ya hapa na pale chanzo kila mmoja akimwona mwenzie msaliti, Binafsi kuna vitu niliviona, sikupenda kabsa though aliaribu kunielekeza but sikutaka kuelewa because niliona havimake sense, at the same time alikuwa anaongea maneno fulan kama vile namsaliti ivi nilichukulia kama utani coz sio kweli.
Finally tuliamua kila mtu ashike 90 zake, binafsi napata shida sana nateseka sana, uwepo wake nahitaji lakini pia sipendi kusalitiwa, naogopa kumwonyesha kiasi gani namuhitaji.
nimejaribu kujkeep busy kufanya vitu tofauti lakini hali iko palepale.
Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini niwe katika hali ya kawaida.
Haya wangu umeanza kiherehere cha kukupenda cjuh nitaambulia maumiv?
Asante kwa ushauri wakohawa ndiyo wanaume :
keep in mind " kila mwanaume anacheat its just a matter of time and space "
jifunze kuwa muelewa na usiwe unauliza maswali wakati unajibu kichwani tayari ..
mfano umekuta sms au call ya mwanamke
kwenye simu ya mpenzi wako usikimbilie kujumuisha kuwa ni mpenzi wake kabla ujaulia ukiweza hili kila maelezo utakayo pewa utaelewa.. wengi huuliza maswali wakati tayari tunamajibu hasi vichwani mwetu hapo hata upate mchungaji mtaachana tu.....
kuachana na mtu si mwisho wa maisha lazima ukubali kuwa maisha laizma yaendeleee tu no matter what... mmeachana sawa wengi watakuja kwako kwa nia kukupenda lakini asilimia 90 ni wapitaji so jitahidi hiyo kumi uweze kuichanganua vyema ....
pole sana ndiyo mapenzi haya hayanaga bondia
Pole dada,
una miaka mingapi?
Aisee watu wanachezea bahati sanaYes ni mpenzi wangu wa kwanza
Mmmh
Ndiyo maana najiepusha sana na nyie watu!
Mna lawama sana na kuombea wenzenu laana kila siku!
Yaani kuachana tu pengine source akiwa yeye mwenyewe lakini bado atakuombea kwa miungu yote upate hata kilema!
Inaniuma sana but siwezi fikia stage iyo
Kisa mmeachana aghrrr not fair!
Fanya hivi Tutsi gl;
Thanks mkuu
- tembelea sana jukwaa la siasa, intelligence, ujasiriamali na mengine yafananayo na hayo. MAANA YANGU: jiepushe na mazungumzo ya mahusiano na mapenzi kwa sasa.
- ANDIKA (PUT IT ON PAPER): Wanasema wataalamu, ukiweza kuandika hisia zako kwenye karatasi utaweza kuzisahau haraka. Kama sio mwandishi nihaditihie tu mkasa wako tuandike wote itakuwa bonge la hadithi.
- JIFUNZE KITU KIPYA: kuna filamu moja niliangalia, mwanaume alikuwa na shida katika mahusiano yake akachukua jukumu la kujifunza lugha mpya. Mimi hujifunza kozi mpya! Yaani lengo ni kuipa akili yako kitu kipya cha kufurahia kufanya ( @nyaningabu utanisamehe niongee kiingereza hapa)..'something that makes you look forward to..'. Kwa kuanzia pitia hizi sites: www.coursera.org na www.en.duolingo.com - ni bure na utajifunza mambo mengi ya 'fields' tofauti tofauti ikiwemo lugha yeyote mpya bure.
Nadhani tuanzie hapo...!
Yes ni mpenzi wangu wa kwanza
Ah ah ah watu wanafuata wahusika pm uhiii umeniacha hoi nilikua cjui hilopole sana ila jiandae na pm....
Ah ah ah watu wanafuata wahusika pm uhiii umeniacha hoi nilikua cjui hilo