Sazira kwetu
Senior Member
- Aug 23, 2015
- 155
- 104
Pole sana kwa hayo unayoyapitia kwa sasa.
Ili kukusahaurisha maumivu unayoyapitia kwa sasa inakubidi ukubariane na yaliyotokea na ujue kuwa adui wa furaha yako ni wewe mwenyewe na sio mtu mwingine yeyote yule.
Pili kama ukiweza kuiaminisha akili yako kuwa adui wa furaha yako ni wewe mwenyewe basi hapo utakuwa umepata ufumbuzi wa tatizo lako maana kama adui wa furaha yako ni we mwenyewe basi amua kuchagua furaha na achana na mawazo yanayoiba furaha yako
Tatu Iaminishe akili kuwa kuwaza ujinga na kujiumiza ni kijidekeza na unaweza ukawaza mambo mengine na yenye kukuretea furaha na kukusahaurisha yaliyopitaa.
Uchaguzi ni wako chagua furaha kwa kuyaacha yaliyopita au kuwa mtumwa wa mawazo kwa kuwaza yaliyopita yanayoumiza na kukuibia furaha yako.