Kupenda kunaniponza

Kupenda kunaniponza

Good Thinking Samaritan !

Baadhi yetu humu Jamii Forums tumejaaliwa majibu ya hovyo sana ila majibu yako huwa yana busara, Hekima na na tafakuri za kina kitu ambacho ni bidhaa adhimu sana katika jamii zetu.

Hongera sana Mkuu, pia Mungu azidi kukubariki.

Nakushukuru sana ndugu yangu japo sidhani kama nikweli uliyoyasema ila ni maombi yangu kwa Mungu azidi kutujalia hekima na busara ili tuendelee kuwa msaada kwa wengine.

Nikutakie siku njema Dahafrazeril
 
Habari wana jamvi,

Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, ninashinda nalia peke yangu, sometimes siwezi kula naona niko peke yangu duniani.

Tumekuwa na migogoro ya hapa na pale chanzo kila mmoja akimwona mwenzie msaliti, Binafsi kuna vitu niliviona, sikupenda kabsa though aliaribu kunielekeza but sikutaka kuelewa because niliona havimake sense, at the same time alikuwa anaongea maneno fulan kama vile namsaliti ivi nilichukulia kama utani coz sio kweli.

Finally tuliamua kila mtu ashike 90 zake, binafsi napata shida sana nateseka sana, uwepo wake nahitaji lakini pia sipendi kusalitiwa, naogopa kumwonyesha kiasi gani namuhitaji.
nimejaribu kujkeep busy kufanya vitu tofauti lakini hali iko palepale.

Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini niwe katika hali ya kawaida.

Ukweli sijakuelewa, ushauri gani haswa unataka as you said mliamua kila mtu achukue 90 zake. Kama mliamua wote ss whats the issue ?
 
hawa ndiyo wanaume :

keep in mind " kila mwanaume anacheat its just a matter of time and space "

jifunze kuwa muelewa na usiwe unauliza maswali wakati unajibu kichwani tayari .. mfano umekuta sms au call ya mwanamke kwenye simu ya mpenzi wako usikimbilie kujumuisha kuwa ni mpenzi wake kabla ujaulia ukiweza hili kila maelezo utakayo pewa utaelewa.. wengi huuliza maswali wakati tayari tunamajibu hasi vichwani mwetu hapo hata upate mchungaji mtaachana tu.....

kuachana na mtu si mwisho wa maisha lazima ukubali kuwa maisha laizma yaendeleee tu no matter what... mmeachana sawa wengi watakuja kwako kwa nia kukupenda lakini asilimia 90 ni wapitaji so jitahidi hiyo kumi uweze kuichanganua vyema ....

pole sana ndiyo mapenzi haya hayanaga bondia
Sabalkheri Miss chagga ?.

Nadhani umeteleza kidogo kwa kutu-generalise.Kusema kuwa "kila mwanaume anacheat its just a matter of time and space" unakosea.

Ungetumia neno "Baadhi", na siyo wote.
 
Usipitr njia anayopita.... Pia usitenge mda wa kumjadili.... Hata hv unavofanya lxm upate kumuwaza... Hvo we funga ukurasa..... Ila km unampenda maamuzi ni yako.... Mapenz ya watu tukiyaingilia bn loooh.....isije ukatuletea uzi tena kuwa.....THANKS GOD WE BACK AGAIN....TUTAKUJA KWAKO
 
Good advice jje's !

Majibu na ushauri wa hivi ndiyo unaozidi kuifanya Jamii Forums kuwa "Home of Great Thinkers".Hongera kwa kwa hilo ila, please nikushauri jambo! Kwenye maneno "Mdogo angu" katika aya/paragraph ya mwisho usipende sana kuyatumia unless unamfahamu mhusika kiumri.Kumradhi kwa hili.

Barikiwa sana.
sawa nimekupata and thanks mkuu, nitakuwa natumia mkuu zaidi.
 
Pole sister, jipendekeze tu kwake yaishe upone hayo maradhi ya moyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom