- Thread starter
- #21
mmh sawaAsante, but sina njia ya kuwa nae mbali, ni mtu ambae lazima kila siku nikutane nae
mmh sawaAsante, but sina njia ya kuwa nae mbali, ni mtu ambae lazima kila siku nikutane nae
Hapo utapona ila itachukua muda my dear. Pole jaribu kuwa busy sana itasaidia.Asante, but sina njia ya kuwa nae mbali, ni mtu ambae lazima kila siku nikutane nae
Habari wana jamvi...
Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, Ninashinda nalia peke yangu, sometimes siwezi kula naona niko peke yangu duniani.
Tumekuwa na migogoro ya hapa na pale chanzo kila mmoja akimwona mwenzie msaliti, Binafsi kuna vitu niliviona, sikupenda kabsa though aliaribu kunielekeza but sikutaka kuelewa because niliona havimake sense, at the same time alikuwa anaongea maneno fulan kama vile namsaliti ivi nilichukulia kama utani coz sio kweli.
Finally tuliamua kila mtu ashike 90 zake, Binafsi napata shida sana nateseka sana, uwepo wake nahitaji lakini pia sipendi kusalitiwa, naogopa kumwonyesha kiasi gani namuhitaji.
Nimejaribu kujkeep busy kufanya vitu tofauti lakini hali iko palepale.
Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini niwe ktk hali ya kawaida.
Hivi bado kuna mapenzi ya kuwazana wazana kibwege namna hii?
Hivi unajua maumivu hayana experience? Unaweza ukawa umetendwa na watu 8 na ukabaki strong, ila mtu wa 9 akakutenda ukatamani hata kujinyonga. So kuna factors nyingi nyuma yakeHuyo ni wa kwanza, pata wa pili mzinguane utapata maumivu pungufu ya haya, baadae ukipata mwingine mkazinguana maumivu yanazidi kupungua.
Ikifikia sehemu ukawa hupati maumivu kabisa ndo unakuwa umequalify (umekwiva).
Ila hapa mwanzoni mwanzoni lazima uisome namba.
Hivi unajua maumivu hayana experience? Unaweza ukawa umetendwa na watu 8 na ukabaki strong, ila mtu wa 9 akakutenda ukatamani hata kujinyonga. So kuna factors nyingi nyuma yake
Ila maumivu ya kwanza ni makubwa zaidi (atleast kwa kipindi hicho)!
Na unaweza kudhani hutakuja kuumia kama hivyo.
Kazi ya moyo kusukuma damu ,kupenda ni kiherehere chako
Habari wana jamvi,
Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, ninashinda nalia peke yangu, sometimes siwezi kula naona niko peke yangu duniani.
Tumekuwa na migogoro ya hapa na pale chanzo kila mmoja akimwona mwenzie msaliti, Binafsi kuna vitu niliviona, sikupenda kabsa though aliaribu kunielekeza but sikutaka kuelewa because niliona havimake sense, at the same time alikuwa anaongea maneno fulan kama vile namsaliti ivi nilichukulia kama utani coz sio kweli.
Finally tuliamua kila mtu ashike 90 zake, binafsi napata shida sana nateseka sana, uwepo wake nahitaji lakini pia sipendi kusalitiwa, naogopa kumwonyesha kiasi gani namuhitaji.
nimejaribu kujkeep busy kufanya vitu tofauti lakini hali iko palepale.
Naombeni msaada wa ushauri nifanye nini niwe katika hali ya kawaida.