Kupenda gani hivi?

Kupenda gani hivi?

Umeonaaaaaaaaaa! Ila mi naona inatokana NA WANAWAKE SIE KUTOKUJIAMINI. Yaani ile kuona nikimkosa huyu simpati mwingine yoyote. Kumbe wapiiiiii. Mi nishamtemaga chotara hivi hivi mchana kweupe, watu wako chotara ana masters, mzuri ana kazi, sijui nini, kwendraaaaaaaaaaaaa, hutopata tenaaa, wewe mjingaaa. Nyokolostiiiii! Kitu nilicho mreplace nacho SALUTE! Tunaheshimiana. Nao wakapata nguvu za kuwatimua lege lege UNTD.:lol:

tena umenikumbusha hapo mpaka ro inaniuma mkaka is a big lier mwanzo alimdanganya mdada wa watu eti ana mastaz ya BBA akaona kapata thubutuuuu kila kukicha analamba chaki kwenye cv highest level of education bachelor degree BAED mdada hooiii!!!
 
akue mara ngapi?? 24 years old si midogo wala afu a graduate university graduate anashindwa hata kuanaldyse mambo yaliyo wazi!!! mweh

usiseme hivyo dada. Ukiona pamoja na vyote ulivyotaja hapo mtu bado anateseka na hawezi kutoka ujue ana shida ya kisaikolojia. Huyo ni teja. Sijawahi kuwa teja ila najua "alosto" huleta maumivu na mahangaiko na dawa ni kubwia tena. Bahati mbaya nina ubongo wa ndezi sikumbuki jina la thread au mleta uzi aliyewahi kuleta habari yake - alikuwa ameshakuwa na bfs wanne wana tabia zilezile - wote hawamjali. Akaona kama wanaume ndo wenye tatizo akasahau kujiuliza kwa nini yeye kila siku apate mabazazi tu wakati anajijua hastahili? Anayekumbuka anaweza kukwambia maana tatizo la msingi wanafanana. Unahitaji kwenda naye taratibu, aone kuwa ana shida. Fikiria mtoto ana miaka 24 anatapanya mwili, akili, roho na hela wakati huu ndo muda pekee alio nao wa kujitambua na kujijenga! Huyo teja mwenzie yuko 33 hana kitu. Kitakachofata hapo ni nini kama si huyo dada kupotea mazima? Huyo bwanake leo hii akapata mwanamke mwingine mwenye hela na wa kumuonea akamuacha huyo rafiki yako, rafiki yako atadata.
 
Hahahahaaaaaaaaa! KWANI KUOLEWA NDO KUSHINDA? Mxiuuuuuuuuuuu! Jitu linakuweka ndni linaku fuja fuja tu, unalishwa michicha kama mbuzi, unaishi maisha duni, saingine wewe ndo unalilea, ndoto zako zmezima kama mshumaa kwenye upepo mkali, kodi inakujambishaaa! NIMEOLEWAAAAAAAA! Nyokolostiiiiiiii! Ukilala usiku MICHOZI TU. :lol:

Bora niendlee tu kuwa mpangaji wa mdingi wangu, ananiuliza leo unajisikia kula nini mama yangu? Unataka kufanya nini mwaka huu,kwenda shule au utafanya kazi kidogo mama unisaidie mie mzee wako? Mama utahitaji hela kidogo ya kutumia? Hapo unakaa bure, kula buree, kunya buree, hela ya shopping unachukua tu kila mwezi. Cha kufia? Akhaaaaaaaaaa!

ndohapo sasa cha kujitwisha gunia la misumari? inakuchoma umoo tu khakha hapana!
 
usiseme hivyo dada. Ukiona pamoja na vyote ulivyotaja hapo mtu bado anateseka na hawezi kutoka ujue ana shida ya kisaikolojia. Huyo ni teja. Sijawahi kuwa teja ila najua "alosto" huleta maumivu na mahangaiko na dawa ni kubwia tena. Bahati mbaya nina ubongo wa ndezi sikumbuki jina la thread au mleta uzi aliyewahi kuleta habari yake - alikuwa ameshakuwa na bfs wanne wana tabia zilezile - wote hawamjali. Akaona kama wanaume ndo wenye tatizo akasahau kujiuliza kwa nini yeye kila siku apate mabazazi tu wakati anajijua hastahili? Anayekumbuka anaweza kukwambia maana tatizo la msingi wanafanana. Unahitaji kwenda naye taratibu, aone kuwa ana shida. Fikiria mtoto ana miaka 24 anatapanya mwili, akili, roho na hela wakati huu ndo muda pekee alio nao wa kujitambua na kujijenga! Huyo teja mwenzie yuko 33 hana kitu. Kitakachofata hapo ni nini kama si huyo dada kupotea mazima? Huyo bwanake leo hii akapata mwanamke mwingine mwenye hela na wa kumuonea akamuacha huyo rafiki yako, rafiki yako atadata.

Na hiko ndo nnachomwambia kwa mfano ila ndo vile kama ulivosema keshakuwa addicted
 
Na hiko ndo nnachomwambia kwa mfano ila ndo vile kama ulivosema keshakuwa addicted and she's psychologically disturbed mana alihamia mazima sasa kurudi tena anaona daah hatariiii
 
Jaribu mara ya mwisho mwisho kwa upole na ukiweza mtafutie mshauri kisha mwache, na usishangae akienda kumwambia huyo "suruali" wake kuwa umemwambia amuache. Inasemekana uzoefu ni mwalimu bora kuliko wote. Kwa hiyo kuna mahali inafika unamuacha afunzwe na dunia sema ndo hivyo huwezi kutabiri kuwa by the time anajifunza atakuwa katika hali ya kuweza kurudi na kuanza upya??!
 
tena umenikumbusha hapo mpaka ro inaniuma mkaka is a big lier mwanzo alimdanganya mdada wa watu eti ana mastaz ya BBA akaona kapata thubutuuuu kila kukicha analamba chaki kwenye cv highest level of education bachelor degree BAED mdada hooiii!!!

Na aliyekudanganya mapenzi yana undugu na elimu ni nani??
 
Watu hawamwombi mungu kabla ya kuingia kwenye mahusiano, wakiingia humo hawapendi kujifunza kanuni za Mungu kuhusu hilo, na ni hayo yanayoleta matatizo yote hayo.

pole kwa huyo mwenye tatizo, arudi kwenye maombi amwombe Mungu amuongoze katika mpango wake (Mungu)
 
sijasema yana undugu na ndomana Sijazungumzia hilo kwenye uzi.....what matters hapo ni ukweli kwenye mambo yaliyo wazi
 
Watu hawamwombi mungu kabla ya kuingia kwenye mahusiano, wakiingia humo hawapendi kujifunza kanuni za Mungu kuhusu hilo, na ni hayo yanayoleta matatizo yote hayo.

pole kwa huyo mwenye tatizo, arudi kwenye maombi amwombe Mungu amuongoze katika mpango wake (Mungu)

thats right kabisa ..na mi hapa itabidi nianze kufunga nikimwombea dada afunguliwe!
 
yanaathiri utendaji kazi banah ...

Wewe muache hivyo hivyo,hadi siku akikaa nyumban hana kazi ndo atapata akili....ushauri mzuri kwenye mapenz huwa hausikilizwi mbovu ndio unaosikilizwa ndo maana wanasema mapenz niya wawili watatu ni shetan..
 
haaaa akiachishwa kazi mahisi nahuku ataachika aseee pamoja na yote hayo anafanyiwa unyama huu Je akikosa pesa si ndo balaa sasa duh...
 
Huyo yuko kwenye circle hawezi kutoka hapo bila msaada...jaribuni kushirikisha wazazi wake na ndugu zake pia.
 
Pesa ya mwanamke ni chungu- Ndicho nachozidi kujifunza JF
^^
 
Back
Top Bottom