Kupenda gani hivi?

Kupenda gani hivi?

when a lady fall in love she fall totaly. mungu aingilie kati enelea tu kumshauri labda iko siku atakusikia na kubadili uelekeo
 
when a woman fall in love she fall totaly lakini huyo kiboko ni mungu tu kuingilia kati , usichoke kumshauri labda ipo siku atabadilika gud luck
 
mmmmmm...na wewe naweeee...mbona mambo yao ya kawaida tu....mapenzi mengi yana changamoto zake lakini watu wanaishi...
 
sasa huu ni uwendawazimu ,, madushe yapo kila kona ya dunia anahudumia limzigo jitu zima hapana aisee.. mwambie aache utahira atakufa kabla kama ni genye atumie vidole tu
 
mapenzi mama.....sasa hapa mahondaw anatakiwa awaachie mambo yao wao ndio wanaojuana vyema....hakuna asiye na marosoroso kwenye mahusiano yake
hater maroso roso mengine ni ya kujitakia kabisa mbaya sana
 
Back
Top Bottom