Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Hahahaaaaaaaaaaaa! Babu mchafu sanaaa wewe!
Hahahhahaa..... ntake radhi.
Ngoja niwahi ka pub ka jirani
Hahahaaaaaaaaaaaa! Babu mchafu sanaaa wewe!
acha kumumwagia maji mwenzako masikioni...
mvumilivu hula mbivu, siku hizi kupata wa kuoa ni issue
ngoja akomae walau aolewe ebo.
ww unamdanganya afu akae nje ya msitari kinuke km wengi kilivyowanukia.....sometime mapenzini lazima uwe ----- ili uwin....ukijipretend much knw subilia kilio na mawazo ya peke yako ndani ya net huko mbeleni
Hayajakukuta ww
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Mxiuuuuuuuuuu! Akimuonja hatutamuona humuu, wote wanakaa kwenye mkeka na jibaba wanalinyoa ndevu, bibie MHANDOw ndo ananyoa shosti ndo kashik kimkebe cha shaving:lol:Sema unamwonea wivu mwenzio unataka jamaa likuonje na wewe uone utamu wake:smile-big::smile-big:............(Mi simoooooo)
Sema unamwonea wivu mwenzio unataka jamaa likuonje na wewe uone utamu wake:smile-big::smile-big:............(Mi simoooooo)
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Mxiuuuuuuuuuu! Akimuonja hatutamuona humuu, wote wanakaa kwenye mkeka na jibaba wanalinyoa ndevu, bibie MHANDOw ndo ananyoa shosti ndo kashik kimkebe cha shaving:lol:
haaah!!!! hilo ni zigo tena zigo kubwa na zito mi lanini? ? mtu mpaka shida za nduguze anililie mimi akhaa liende tu
wadada wengi wanaojifanya wanajitambua huishiwa kuchorwa na wavulana....ila wale waonekanao mazuzu na hawajitbui, wabaya ndo kila siku tunaletewa kadi zao
wadada wengi wanaojifanya wanajitambua huishiwa kuchorwa na wavulana....ila wale waonekanao mazuzu na hawajitbui, wabaya ndo kila siku tunaletewa kadi zao
Unaona eh?? Huyu mahondaw ana underestimate the power of Dudu. Akikutana dudu analotesekea shosti ake (si umeona mwenyewe kashalisifia?) hakyamama atakuwa mchepuko wa kudumu. Tell her yoooooo..... Igweeeee.....
zuzu tu huyu kupendwa gani huku mtu kila kukicha unapiigwa fungiwa mlango unatumiiilka weeee kimwili na kifedha wee hapana ...ndo kauli zenu legelegez alojisemea lara1
Sio uongo hata kidogoooo! Ndoa hizi mwanamke kodi yeye, ada yeye, kula juu yake, ndugu wa mume yeye, na bado atatoa hela amgee mume za kunywea kisa na mkasa Dusheleleeeeeeeeeee! Hahahhaaaaaaaaaaaaaaa!
Dawa ya dushe kama hilo upate kali zaidi ya hilo ndo ufahamu unakurudia.
Mhhh huo upendo sijaumbwa nao yani nimuhudumie mwanaume mahitaji yake kisa dushe lake?A big NO!!!
Unaona eh?? Huyu mahondaw ana underestimate the power of Dudu. Akikutana dudu analotesekea shosti ake (si umeona mwenyewe kashalisifia?) hakyamama atakuwa mchepuko wa kudumu. Tell her yoooooo..... Igweeeee.....
Ndo maana namwambia shosti ako asimlaumu sana shosti ake. Hajui anapewa nini na magic stick ya janaume lake. Nahisi hajawahi kukutwa. Mi namwambia amwache tu, with time akishalizoea mwenyewe atastuka na hatatumika tena. Kwa hivi sasa amwache mwenzie apate raha ya Asumani....
Asante.....khakhakhaaaaa we nawe umejuaje ka mi mbea mana ndege wafananao huruka pamoja !!!