LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,631
Mimi wangu 2yrs na Yuko Day care Mengine hayo Ya Kumuachia Mungu ndie mjuzi zaidiTafuta mtu mzima ambaye hana majukumu kama hayo.
Ila ukiangalia kwa makini kila sehemu ina weakness zake,hizo daycare sometimes nazo zina mambo ya ajabu sana ambayo ni afadhali mtoto abaki nyumbani na beki 3,lakini pia mtoto akikaa nyumbani atajifunza bongo fleva mpaka basi....
Hakuna kizuri kisicho na faida.