Kupeleka watoto wachanga chekechea imekuwa kama fasheni

Tatizo ni ubishoo wa wazazi na kujifanya busy for nothing, mzazi ana kucha ndefu kama jini na smart phone kubwa ataweza kukaa na mtoto kweli
Acha wivu maisha yako ya kula kucha hayawezi fanana na wengine
 
Nadhani umefika wakati sasa hizo sehemu watu wanakofanyia kazi kuwa na day care center ili iwe rahisi kwa wazazi japo kuwatupia jicho watoto wao wanapokuwa kazini. kwa kweli kuwapeleka watoto wadogo kwenye hizo shule haipendezi lakini majukumu ndiyo hayo na asiye fanya kazi asile. Ila bado naomba zile boarding kwa watoto hawa bado sana jamani tuwe na huruma kidogo!

Well said mkuu. Tumuombe Mungu hao wakubwa walione hili kwani lina umuhimu kuliko hata kuhamia huko Dom
 
Back
Top Bottom