white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,323
- 2,487
hahahaha kuna mmoja hapa jirani yangu yeye amemkodishia Bodaboda inampeleka shuleha hahaa hakumbe umeliona na wewe hili .. sehemu ya kutembea mtoto kwenye school bus
ukikaa nyumbani unapaona shule pale wala hamna hata barabara ya kuvuka useme atashindwa kwenda mwenyewe