Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,522
Ni hivi mkuu watu wanawanyanyapaa wadada hafu wanalaumu wenyewe hawajui wale ile hali si kwamba anaipenda imemtokea tu kwa majaaliwa yeye kuzaliwa wasiojiwezaTafuta mtu mzima ambaye hana majukumu kama hayo.
Ila ukiangalia kwa makini kila sehemu ina weakness zake,hizo daycare sometimes nazo zina mambo ya ajabu sana ambayo ni afadhali mtoto abaki nyumbani na beki 3,lakini pia mtoto akikaa nyumbani atajifunza bongo fleva mpaka basi....
Hakuna kizuri kisicho na faida.
Kuna mtu apo kasema kamchukua mtoto wa. Wifiake kajitolea kumsomesha na kawa msaada mkubwa kwake nnahakika ata huyo akipuuzwa na kumuonyesha kua si mwana family mtamfukuza pia mpe mfanyakazi heshima kama mwana family utainjoy na makosa nisehem za kibina adam hata mdogo wako anaweza kukosea na yakaisha bila shida kuuubwa yakufa mtu akumbuke dhiki zake mtu kabamiza mlango tu mitusi mpaka mtaa wa 2 lazima aendelee kukosea huyo