Hii ndiyo ratiba yangu baada ya kumfukuza mke wangu ili niishangilie Yanga SC

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,837
Nisikilizwe Nina hoja!

Baada ya hivi karibuni kutangaza kufanya maamuzi magumu tena ya kishujaa ya kumkufukuza mke wangu hapa nyumbani na kumrudisha kwao, kutokana kuninyima uhuru wa kuishangilia Yanga sc na kuwatetea kina pacome na Guede mitandaoni, nimekuwa nikipokea jumbe za matusi na kejeli DM.

Ila niweke wazi kuwa msimamo wangu hautobadilika ni heri niishi kwa punyeto huku nikiishangilia Yanga sc kwa uhuru. Sitaki ushauri, tena mnikome, na mkichonga sana kumbukeni na hapa ipo!

Ratiba yangu ya sasa ya kila siku baada ya kumfukuza mke wangu ili niishangilie Yanga sc ni kama ifuatavyo.

Saa 1-4 asubuhi: naamka naingia mitandao yote ya kijamii kuisifia Yanga na kupambana na comment zote mbovu dhidi ya Yanga.

Saa 4-7 mchana: natuma meseji za kuomba msaada wa hela ya kula kwa wanayanga wenzangu, nikikosa natembea kwa mguu mpaka makao mkuu yetu pale jangwani kupata supu na chapati za bure.

Saa 7-10 jioni: natembelea vijiwe vyote vya kahawa maeneo ya kariakoo na katika kila kijiwe naanzisha mada ya Pacome vs chama kisha namtetea Pacome kwa nguvu zote mpaka nieleweke, na itakapolazimu makonde kurushwa niko tayari

Saa 10-2 usiku : naanza kumsifia eng. Hersi Said na Gsm, hii itamuhusu kila atakaye niongelesha ndani ya haya masaa, kila baada ya salamu ntahakikisha nachomekea mada ya Yanga sc na kuanza kumsifia engineer.

Saa 2-4 usiku : Natazama marudio ya mechi ya Yanga sc 5 vs 1 Mbumbumbu fc, nikimaliza nalala.
 
Watu kama wewe ndio mnawapa points makolo kutusimanga kuwa sisi hamnazo kwa mada kama hizi na wakati tumeshawapi KO kitambo kwa kila kitu ndani na nje ya uwanja
 
KILA SIKU NINASEMA HAPA.

UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZINAANZA KUPOTEA KICHWANI.

NAWASIHI VIJANA UTUMIENI MUDA VIZURI.

Hizo timu zimebeba Umasikini wa Tanzania
watu wanamishahara yao wanapokea kila mwezi ,endeleeni kupayuka bila malipo, biashara ambayo haina faida ni mashabiki wa mpira
 
Nisikilizwe Nina hoja!

Baada ya hivi karibuni kutangaza kufanya maamuzi magumu tena ya kishujaa ya kumkufukuza mke wangu hapa nyumbani na kumrudisha kwao, kutokana kuninyima uhuru wa kuishangilia Yanga sc na kuwatetea kina pacome na Guede mitandaoni, nimekuwa nikipokea jumbe za matusi na kejeli DM.

Ila niweke wazi kuwa msimamo wangu hautobadilika ni heri niishi kwa punyeto huku nikiishangilia Yanga sc kwa uhuru. Sitaki ushauri, tena mnikome, na mkichonga sana kumbukeni na hapa ipo!

Ratiba yangu ya sasa ya kila siku baada ya kumfukuza mke wangu ili niishangilie Yanga sc ni kama ifuatavyo.

Saa 1-4 asubuhi: naamka naingia mitandao yote ya kijamii kuisifia Yanga na kupambana na comment zote mbovu dhidi ya Yanga.

Saa 4-7 mchana: natuma meseji za kuomba msaada wa hela ya kula kwa wanayanga wenzangu, nikikosa natembea kwa mguu mpaka makao mkuu yetu pale jangwani kupata supu na chapati za bure.

Saa 7-10 jioni: natembelea vijiwe vyote vya kahawa maeneo ya kariakoo na katika kila kijiwe naanzisha mada ya Pacome vs chama kisha namtetea Pacome kwa nguvu zote mpaka nieleweke, na itakapolazimu makonde kurushwa niko tayari

Saa 10-2 usiku : naanza kumsifia eng. Hersi Said na Gsm, hii itamuhusu kila atakaye niongelesha ndani ya haya masaa, kila baada ya salamu ntahakikisha nachomekea mada ya Yanga sc na kuanza kumsifia engineer.

Saa 2-4 usiku : Natazama marudio ya mechi ya Yanga sc 5 vs 1 Mbumbumbu fc, nikimaliza nalala.
Umetisha mkuu.
 
Umetisha naomba kila tarehe moja niwe nakuunga bando la mwezi ili usitoke hewani...
 
Ushajiita mwehu. Imeisha hyo
 
Yaani the moment ukishajijua wewe ni utopolo,basi tambua kichwani mwako ni empty.
 
Back
Top Bottom