2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,365
- 6,086
Yaani bado watu wanaishi kwa Mazoea na kufikiri kwa Mazoea.
Ukweli ni kua:-
Kupata Zero ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Zero ni sawa na umeishia elimu ya Upe.(universal primary education). Namaanisha Std 7.
Ina maana kwenye karne hii 21 ya science na technology, ubongo wa kibashite bado haujafikia uwezo wa Ku tackle complex issues scientifically.
Yaani hajui chochote. Ameenda sekondary kukua tu.
Kama Ni kweli kwamba
Mh. Ols.endekk a kapewa U-RC angali ana sifuri kichwani mwake ni Kosa kubwa sana, na kosa hili limefanywa katika awamu hii ya mapinduzi ya viwanda. Which is shame.
Shame to our country...
Sisi tuliochomoa hizi Bashite tukipita mtaani tunakua kama hatuna maana kwasababu tunaongozwa na wasio na uwezo.
Mh. Ndalichako alipaswa kulivalia njuga swala hili ikiwemo Mh.Olesendeka naye aachie ngazi mara moja.
Tusitegemee watu kama hawa wakazalisha fikra pevu.
Wakati walikua weak students
Daudi naye anapaswa kukabidhi jiji na kufunguliwa mashtaka ya forgery.
Tuache usanii wa kifikra.