Kupata na kukosa. . . KUBALI MATOKEO!

Bora anaekutukana afu anaenda zake, manake kama mwanamke unajitambua hakusumbui, huhitaji kuambiwa juu ya ulivyo especially na mtu ambae hahusiki vyovyote na wewe!
Kuna wale ving'ang'anizi! Yaani umeshamuambia hapana, haiwezekani! Kila siku anakuja na swali 'nifanyeje ama niweje ili unipende???'. Halafu ana majibu yake ya kuchagua sababu za kutopendwa:
Au familia yangu maskini
Au vile sina hela unanidharau
Au elimu yangu
Au navaa kishamba?
Wanachosha sana! Bora akuponde, afu umcheke kimoyomoyo na mkikutana akae mbali na wewe.
 
Kwa karne hii, na upande wa pili pia unahusika.

Mwanamke anamtaka mwanamme, kisha akikataliwa unakuta anaanza kashfa, "oooh si rizki", "Ohh si mwanamme kamili", "ooooh kalishwa libwata" , "Ooh kafulia"......
 
Lizzy nisahidie hapa coz imefikia mahali naona wanawake kama mashetani waliopo duniani.unakuta mwanamke nishajua nampenda natafuta number yake hapo atujazoeana ghafla tunaanza dating stage,appointment/outing zangu zinakubalika anapokuwa around akiwa mbali mawasiliano ni mazuri.in/out anajua nampenda nayeye anakiri anatambua hilo after stay a year ninawambia will u merry mi anakubali after 2day.anakuuliza iv unanichukulia je? Ghafla mawasiliano yanaanza kupungua anitafuti hadi mimi nianze.mwanaume nakubali kutoswa lolote na liwe.nampgia simu kutaka msimamo wake au kama kashapata mwanaume mwingne aniambie.UNAJIBIWA SIKUTAKI.kama mwanaume sina imani dhabiti katika dini mwanamke kama huyu unaweza mmwagia maji ya betri kwenye naniliu yake vipand vya chupa.kama unipendi nipotezee frm the begn that z best nitakuelewa wanaume wengne sio ruba 2naachia faster kukuvua chup akutanfanya nikubembelez au pesa aztanifanya nirudi nyuma.
 
tatizo nyie ndio mnasababisha usha fltr na mwanaume miez kibao outng then unakuja kumwambia unamda nae,kuna mdada mmoja wa kimasai namkubali sana yeye from the begn alinionyesha dalil kuwa yupo na mtu nikimpa vocha leo kesho nayey ananirecharge nikatulia mwenyewe hadi leo ni best sana.Wanawake wengne hadi pesa ya ped wanaomb then anakuja kukutosa.kama mwanaume anamaamuzi magumu anaweza bembeleza mwaka mzima.TATIZO KUBWA WANAUME TUNAOGOPA KUULIZA KAMA TUNATAKIWA AU LA! Mawasiliano yanapokuwa magumu
 
inaudhi sana unapomwambia mtu sikutaki anakung'ang'ania, au anaporomosha matusi, na usiombe kutongozwa na visharobaro utamkatalia lakini ataenda kijiweni kutangaza kuwa anakuchukua.

inaudhi sana......

na inaudhi zaidi anapoenda kuongea maneno ya kashfa dhidi yako kwa vile tu umemkatalia

aaaarggh
 
hahahah kukubaliwa kunahitaji uvumilivu na kwa sababu hiyo wanaume tumejenga mazoea kutoka na usemi " atafutae hachoki , akichoka kapata""

wengi wameshajenga dhana mwanamke ukimfuata analeta sitaki nataka
 
Mwenzenu mimi huwa sijui kutongoza kwahiyo hata vibuti kupigwa sio rahisi, yaani sikumbuki kuwahi kutongoza teh teh teh :lol:
 
  • Thanks
Reactions: BPM
unasogezewa???

Mimi huwa situmii mbinu ya kuanza ku express mapenzi yangu kwa mtu. Huwa natengeneza mahusiano tu ya kawaida kuanza kumsoma taratibu kwa vi date na second date tu ushajua huyu anaelekea au haelekei.

Mambo ya kuanza kumwambia ghafla ghafla mtu kwamba roho imedondokea ndio hayo watu wanaishia kuwa humiliated.
 
Bora anaekutukana afu anaenda zake, manake kama mwanamke unajitambua hakusumbui, huhitaji kuambiwa juu ya ulivyo especially na mtu ambae hahusiki vyovyote na wewe!
Kuna wale ving'ang'anizi! Yaani umeshamuambia hapana, haiwezekani! Kila siku anakuja na swali 'nifanyeje ama niweje ili unipende???'. Halafu ana majibu yake ya kuchagua sababu za kutopendwa:
Au familia yangu maskini
Au vile sina hela unanidharau
Au elimu yangu
Au navaa kishamba?
Wanachosha sana! Bora akuponde, afu umcheke kimoyomoyo na mkikutana akae mbali na wewe.

Loh. . .
Nachukia kweli watu wanaoibuka na sababu za ajabu ajabu kama hizo. Huyo hata ukimkubalia jua kabisa hizo kauli zitakua sehemu ya mahusiano yenu, yani inaboa kupitiliza. Hata umpende vipi lazima atafute namna ya kuzileta kwenye maongezi.
 
Kwa karne hii, na upande wa pili pia unahusika.

Mwanamke anamtaka mwanamme, kisha akikataliwa unakuta anaanza kashfa, "oooh si rizki", "Ohh si mwanamme kamili", "ooooh kalishwa libwata" , "Ooh kafulia"......
Yeahh hiyo nayo inahusu sana.
 
Lizzy nisahidie hapa coz imefikia mahali naona wanawake kama mashetani waliopo duniani.unakuta mwanamke nishajua nampenda natafuta number yake hapo atujazoeana ghafla tunaanza dating stage,appointment/outing zangu zinakubalika anapokuwa around akiwa mbali mawasiliano ni mazuri.in/out anajua nampenda nayeye anakiri anatambua hilo after stay a year ninawambia will u merry mi anakubali after 2day.anakuuliza iv unanichukulia je? Ghafla mawasiliano yanaanza kupungua anitafuti hadi mimi nianze.mwanaume nakubali kutoswa lolote na liwe.nampgia simu kutaka msimamo wake au kama kashapata mwanaume mwingne aniambie.UNAJIBIWA SIKUTAKI.kama mwanaume sina imani dhabiti katika dini mwanamke kama huyu unaweza mmwagia maji ya betri kwenye naniliu yake vipand vya chupa.kama unipendi nipotezee frm the begn that z best nitakuelewa wanaume wengne sio ruba 2naachia faster kukuvua chup akutanfanya nikubembelez au pesa aztanifanya nirudi nyuma.
Kama ambavyo kuna kuanza kupenda ndivyo ambavyo kuna kuacha kupenda. Pengine baada ya kuwa na wewe kwa muda mrefu aligundua hukidhi vigezo wala mahitaji yake. Badala ya kumchukia jaribu kumuuliza kilichobadilika ili kama ni kosa ulofanya usije ukalirudia kwa mwingine. Hayo ndio maisha. . .
 
inaudhi sana unapomwambia mtu sikutaki anakung'ang'ania, au anaporomosha matusi, na usiombe kutongozwa na visharobaro utamkatalia lakini ataenda kijiweni kutangaza kuwa anakuchukua.

inaudhi sana......

na inaudhi zaidi anapoenda kuongea maneno ya kashfa dhidi yako kwa vile tu umemkatalia

aaaarggh

Yani. . . eti anaenda kujisifia aonekane kidume kumbe wapi!!
 
Nafikiri pia namna unayomuambia mtu ina determine reaction yake....kuna wadada/wakaka wana lugha za kejeli sana....kama una sababu za kutokukubali ombi la fulani,basi fanya hivyo kwa heshima na busara...wengine hadi kijiji kijue alimkataa fulani,au unaanza mkosoa as if yeye hastahili kuwa na mtu kama wewe....Heshima kitu kizuri sana,hakuna duniani anayependa kukataliwa,so lets do it kindly,kama ambavyo ungependa wewe ufanyiwe....ushauri mzuri dearest!

ushauri mzuri ila kwa mtu ambaye siyo muelewa kesho atarudi tena kutikisa kiberiti
 
Mimi huwa situmii mbinu ya kuanza ku express mapenzi yangu kwa mtu. Huwa natengeneza mahusiano tu ya kawaida kuanza kumsoma taratibu kwa vi date na second date tu ushajua huyu anaelekea au haelekei.

Mambo ya kuanza kumwambia ghafla ghafla mtu kwamba roho imedondokea ndio hayo watu wanaishia kuwa humiliated.
hilo nalo neno. ila kwa nini mtu asisubiri hadi muda ufike achumbie kabisa/ aoe?
 
Lizzy; Kwani namtukana nayeye anasikia...mimi namtukana kimya kimya hata hajui kama nimemtukana na wala hatasikia ....Sisi tunaita technology mpya za matus....Yani data za matusi ( dirty data) tuna baki nazo wenyewe.... :biggrin:

Kwahiyo ukishantukana kimya kimya unapata unafuu?

...lol...hayo ndio maneno niliyoyasoma dogo Almasi akilalama kuhusu mlimbwende "Goodness"...
kukataliwa/kuachwa kunauma, ...unahitaji uwe na moyo wa chuma kama mbu hapa ninavyojifariji na "...likuepukalo lina heri nawe!"

Hahahahha!
Hao wanaowahigi kutangaza wao ndio wamaecha/badili mawazo/wamemuona binti hafai wakampotezea au hata wameshapata walichotaka ndio wabaya sasa. Maana akitokea mtu akasema "Sio kweli" basi binti wa watu atashushiwa mvua ya matusi weeee!!
Ni sehemu ya tiba, anajikanda moyo
 
yote hayo natokana na watu wengine (both women and men) kuenzi - PENZI - kuna watu ambao wakati mpenzi wake anamchukulia serious - yeye ana-pass time tu - wanadamu wana - kigeugeu sana - wengine ni PLAYBOYS - wengine ni PLAYGALS - so??????

Wengine hawajui hata maana ya MAPENZI ......wanafanya mchezo wa kuigiza - wanaishia kuumiza wenzao nafsi zao.

Wengine wanaangalia pochi - akishachuna - akiona amepata mwingine wa kuchuna - anaishia............

sijui kuna DOCTOR wa mapenzi??? labda atueleze whats the meaning of all this????????
 
Hapo Gaijin umenena!!
Kuna wanawake ving'ang'anizi afadhali ya wanaume!!!

Kwa karne hii, na upande wa pili pia unahusika.

Mwanamke anamtaka mwanamme, kisha akikataliwa unakuta anaanza kashfa, "oooh si rizki", "Ohh si mwanamme kamili", "ooooh kalishwa libwata" , "Ooh kafulia"......
 
Mimi huwa situmii mbinu ya kuanza ku express mapenzi yangu kwa mtu. Huwa natengeneza mahusiano tu ya kawaida kuanza kumsoma taratibu kwa vi date na second date tu ushajua huyu anaelekea au haelekei.

Mambo ya kuanza kumwambia ghafla ghafla mtu kwamba roho imedondokea ndio hayo watu wanaishia kuwa humiliated.

lakini hatua moja huanza nyingine na kuumizwa huwa hakuji date ya kwanza au ya pili .....
 
Kama ambavyo kuna kuanza kupenda ndivyo ambavyo kuna kuacha kupenda. Pengine baada ya kuwa na wewe kwa muda mrefu aligundua hukidhi vigezo wala mahitaji yake. Badala ya kumchukia jaribu kumuuliza kilichobadilika ili kama ni kosa ulofanya usije ukalirudia kwa mwingine. Hayo ndio maisha. . .
ehee
nimuulizeee kamwe c wezi ask bt@"ch bout ma prfle.dat y wanawake nawaona kama recyclebin ya mbegu za wanaume au viburudisho ndo maana wengne wanafanya biashara haramu ya kusell their holes pasipo kulpa VAT.
 
Back
Top Bottom