Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

Unaongea kwa akili zako tu kutoka kichwani au unaongea kwa mujibu wa sheria? Usichanfanye mazoea na sheria kanuni za utumishi wa umma ktk circulating letters zimeweka bayana mtumishi kujiombea kibali au kuombewa kibali na kila moja ina taratibu zake so mimi naongea sheria inavyosema wewe unaleta kanjanja siwez kukuelewa let's speak speak kitu ambacho ni law enforced sio eti mimi nilifanya hivi nikafanya vile
Unasema kuombewa na kujiombea .Sasa ulikuwa unakosoa nn?
 
Nakukosoa wewe unae sema ni kuombewa tu na sio kujiombea wewe ulikua unasema moja tu kwamba ukiajiliwa na taasisi kama ajira mpya HR wa taaisis hiyo ndio akushughulikie na wewe hupaswi kuji shughulikia nikakwambia ikiwa HR asipikupa ushirikiano unaruhusiwa kwa mujibu wa sheria kuomba kibali cha kuhama wewe mwenyewe ukapitia kwa mwajiri wako na ikaenda kwa katibu mkuu. So njia zote mbili zinatumika mimi nilikua nakukatalia kauli yako ya kua eti HR ndio peke ake akuandikie na kua wewe huwezi ku initiate
 
Mbona sioni logic, binafsi nimehama taasisi tatu mara zote wameniombea HR...

Vip wewe ajira za juzi?
 
We jamaa una akili ngumu sana huoni Logic? Do you know even the meaning the word logic it self? Logic ni ku weigh vitu kadhaa uka assume what if x is true and what if x is not true? Deductively na inductively wewe unachosema ndio hakina logic sababu ume base kwenye experience yako ambayo kwa upande mmoja wa argument ndio umekua applied yaan umeajiliwa HR akakupa ushirikiano akakuombea kibali that's well and Good sasa Logic ni kupima upande wa pili nin pia ungefanya pale ambapo HR kama ungekuta hajakuoa ushirikiano (kama ilivyotokea kwangu) HR hakunipa ushirikiano akasema wao wanahitaji mtu kwa haraka sana na miki kama nina check number ntachelewa sana ku join so Logic ni kwenda upande wa pili kuona inasemaje inasema Endapo umekutana na vizingiti ndio maana serikali ilitunga sheria ya kukuruhusu na wewe kuomba maana inajua kua kuna Waajiri wana jeuri so mwajiri akileta jeuri wewe mwajiriwa mwandikie Katibu mkuu moja kwa moja

So usilete mazoea unapokua unaongea mambo ya kiutumishi "eti sioni logic maana mimi HR mara zote tatu amenifanyia" unaketa mazoea kwenye mambo ya sheria na taratibu ndio mara zote amekufanyia Very Good ila kuna watu au kuna taasisi unaweza kwenda ukakutana na vikwazo kama wengine walivyokutana navyo au kama nilivyokutana navyo ko najaribu kukupa uelewa kwamba endapo ukikutana na hivyo vikwazo basi sheria inakuruhusu ku initate Acha kukaza fuvu hilo
 
Sioni logic zaidi ya kukurupuka kwako, soma kwanza hilo ndio tatizo la kukariri ukiambiwa msome muelewa mnaleta uzungu.
Unapenda kupima maji ila mimi sio size yako dogo , jitahidi sana uwe na akili ulichoandika hapo ni zero hata kutenganisha sentensi bado .Utumishi umeingia juzi ila unaleta ushamba . :D :D

Fuatilia nime-reply kwa uzoefu wangu , sasa unakuja hata ueleweki unachoongea , ulichoandika hapo paraghaph zote ya kutengenisha ulikuwa na maana , kiufupi hauna hoja unapiga tu kelele.!

Umeajiriwa mwaka jana tena ila unaleta ubishi wa kishamba ndio tatizo , hilo suala la kuomba sijawahi kuona ndio nasikia kwako .Hata Tamisemi wao wanaomba kibali cha ajira wao kwanza wewe unaajiriwa kibali klishaombwa na viongozi wa Tamisemi , wewe unaajiriwa tu ukiwa tayari kibali chako kinatambulika .

Uombe kibali moja kwa moja wewe kama nan?

Usirudie ku-reply comments zangu mpaka uwe na akili timamu.
 
Kwamba unauliza swali kua "uombe kibali moja kwa moja we nani? 😂😂 muulize hilo swali Katibu mkuu ndo maana nakwambia hujui sasa sheria inasema hivyo then unaniuliza mimi waulize waliotunga sheria maana mpaka leo likizo yako anapitisha mwajiri wako sasa siwez kukuliza kua Likizo yako anapitisha mwajiri ye nani? Ni sheria imewekwa sasa narudi kukupa shule maana una experience ila we ni kilaza umetoboa kwenye mambo yako sawa ila umeonesha kua ni kilaza tu sikia

Huu ni waraka wa Serikali number EA 45/257/01/49 wa mwaka wa 2006 ikiwa ni mabadiriko ya sheria ya uhamisho wa watumishi baina ya waajiri soma Kipengele number 6. ( a)

6.
Kwa watumishi ambao wanazo sababu za kuruhusiwa kuhama zikiwemo kushinda usaili wa nafasi za kazi, kuwafuata wenzi wao wa ndoa a uwenye.-sababu za kiafya, waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii kupitia kwa waajiri wao yakiambatana na:-
Ushahidi wa kuwepo kwa nafasi ya
kazi iliyotengewa fedha kwa mwaka wa fedha husika kutoka kwa mwajiri aliyekubali kumpokea. Nafasi hi inaweza ikatokana na kibali cha ajira mpya/mbadala au mtumishi aliyekuwepo kuhitimisha utumishi wake kwa kustaafu, kuacha, kufukuzwa kazi au kufariki ambapo ni lazima kuainisha jina la mtumishi huyo, cheo, C/No. sababu na tarehe ya kuhitimisha utumishi

Ufafanuzi: kuna maneno nime bold hapo yanasema waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii kupitia kwa waajiri wao
Maana yake Sheria imeruhusu mtu mwenyewe ku initiate transfer kwenda kwa katibu baada ya kupata nafasi iliyowazi au ajira kwenye taasisi nyingine hivyo swala la kuuliza mtumishi ana initiate yeye kama nani hilo sio langu ni kwa mujibu wa sheria na kwenye ya kisheria nimekuonya toka mwanzo acha kuleta soga na vigoma buza hii ni sheria na kuna facts zake FULL STOP

NAENDELEA
Kuna comment moja ulisema kua baada ya kupata kazi kwenye taasisi flani ukaenda ku report na HR ndio akaanza mchakati wa kukuombea kibali na kwamba kwa kipindi chote hicho hukurudi kwenye kituo chako cha zamani (yaan uli report na kuanza kazi moja kwa moja badala ya kurudi kwanza kituo chako cha zamani ili usubiri majibu ya kibali chako cha uhamisho [ ambavyo ndivyo sheria inavyotaka]

Sheria hii hii kifungu cha 7 inasema

7. Mwisho, ninapenda kusisitiza kuwa watumishi ambao maombi yao yatakuwa yamewasilishwa katika ofisi hii wanatakiwa kuwa katika vituo vyao vya kazi wakiendelea kufanya kazi wakati maombi yao yakishughulikiwa badala ya kupoteza muda kufuatilia maombi yao. Barua za uhamisho zitatuma kupitia kwa waajiri wao na katu hawatapewa mkononi.

Mwisho nikwambie tena kwamba usilete story za buza na experience uchwars unapozungumzia au ku refer kwenye mambo ya kisheria ambayo yana taratibu zake. Msomi anatakiwa ku argue na facts sio empty head unauliza eti mtumishi ana initiate kama nani? Haya nimekuletea sheria nime screenshot hapo somaa maana ndo hivyo the empty head is a burden to the body!
 
Attachments

  • IMG_9094.jpeg
    IMG_9094.jpeg
    401.7 KB · Views: 5
  • IMG_9095.jpeg
    IMG_9095.jpeg
    416 KB · Views: 6
Mjadala ulikua mzuri,Ila ego zimeuharibu.
Yeye ndo ameanza kukejeli na anataka kuamisha watu kufanya isivyo utaratibu sheria iko wazi yeye anasema una initiate kama nani nimemtumia hapo juu waraka wa serikali unao mpa haki mtumishi kuandika kibali yeye mwenyewe kwenda kwa katibu mkuu kupitia tu kwa mwajiri

Mtu anatoa mifano aliyofanya yeye (hata kama alivunja sheria au kukiuka taratibu) itumike kama bench mark? Nope sheria iko wazi na kwa mujibu wa sheria hii watu wengu wamehama kwa utaratubu huo. Mwajiri mpya au mtumishi mwenyewe anaweza ku initiate transfer na screeshot nime attch hapo juu

Anasema yeye ni senior yes ukiwa senior na hujui sheria zinasemaje unapuyanga tu infact ni senior ila huna uwelews katika mambo ya nyaja flani ambayo hata junior anaweza kukupa insisht sio kua eti wewe ni senior katika kila kitu kwa tukuache upuyange na u senior wako sasa nasubiri ajibu kua sheria inasema au haisemi Full stop.
 
Mjadala ulikua mzuri,Ila ego zimeuharibu.
Yeye ndo ameanza kukejeli na anataka kuamisha watu kufanya isivyo utaratibu sheria iko wazi yeye anasema una initiate kama nani nimemtumia hapo juu waraka wa serikali unao mpa haki mtumishi kuandika kibali yeye mwenyewe kwenda kwa katibu mkuu kupitia tu kwa mwajiri

Mtu anatoa mifano aliyofanya yeye (hata kama alivunja sheria au kukiuka taratibu) itumike kama bench mark? Nope sheria iko wazi na kwa mujibu wa sheria hii watu wengu wamehama kwa utaratubu huo. Mwajiri mpya au mtumishi mwenyewe anaweza ku initiate transfer na screeshot nime kanuni za utumishi wa umma attch hapo juu ukisoma Na. 107 ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003 na aya Na. 13(k) ikisomwa pamoja na waraka wa serikali number EA 45/257/01/49 wa 2006 unasema kibali cha uhamisho unaweza kuombewa na mwajiri wako mpya au wewe mwenyewe mtumishi unaweza kuomba

Kifungu number 6 hapo kinasema
"waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii "
Lakini bado mtu ana bisha tens kwa kejeri ni kiazi hiki 😂 yes ni kiazi maana huwez pewa facts harafu unaanza kusema eti mimi nilifanya hivi na hivi kwa wote wafanye hivyo na anaefanys tofauti ya wewe ulivyofanya hata kama kafata heria inavyosema eti yeye hajuii kakoseaaa eti wewe ni senior uns experient WTF? 😁

Anasema yeye ni senior yes ukiwa senior na hujui sheria zinasemaje unapuyanga tu infact ni senior ila huna uwelews katika mambo ya nyaja flani ambayo hata junior anaweza kukupa insisht sio kua eti wewe ni senior katika kila kitu kwa tukuache upuyange na u senior wako sasa nasubiri ajibu kua sheria inasema au haisemi Full stop.
 
Attachments

  • IMG_9094.jpeg
    IMG_9094.jpeg
    401.7 KB · Views: 6
Kwamba unauliza swali kua "uombe kibali moja kwa moja we nani? 😂😂 muulize hilo swali Katibu mkuu ndo maana nakwambia hujui sasa sheria inasema hivyo then unaniuliza mimi waulize waliotunga sheria maana mpaka leo likizo yako anapitisha mwajiri wako sasa siwez kukuliza kua Likizo yako anapitisha mwajiri ye nani? Ni sheria imewekwa sasa narudi kukupa shule maana una experience ila we ni kilaza umetoboa kwenye mambo yako sawa ila umeonesha kua ni kilaza tu sikia

Huu ni waraka wa Serikali number EA 45/257/01/49 wa mwaka wa 2006 ikiwa ni mabadiriko ya sheria ya uhamisho wa watumishi baina ya waajiri soma Kipengele number 6. ( a)

6.
Kwa watumishi ambao wanazo sababu za kuruhusiwa kuhama zikiwemo kushinda usaili wa nafasi za kazi, kuwafuata wenzi wao wa ndoa a uwenye.-sababu za kiafya, waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii kupitia kwa waajiri wao yakiambatana na:-
Ushahidi wa kuwepo kwa nafasi ya
kazi iliyotengewa fedha kwa mwaka wa fedha husika kutoka kwa mwajiri aliyekubali kumpokea. Nafasi hi inaweza ikatokana na kibali cha ajira mpya/mbadala au mtumishi aliyekuwepo kuhitimisha utumishi wake kwa kustaafu, kuacha, kufukuzwa kazi au kufariki ambapo ni lazima kuainisha jina la mtumishi huyo, cheo, C/No. sababu na tarehe ya kuhitimisha utumishi

Ufafanuzi: kuna maneno nime bold hapo yanasema waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii kupitia kwa waajiri wao
Maana yake Sheria imeruhusu mtu mwenyewe ku initiate transfer kwenda kwa katibu baada ya kupata nafasi iliyowazi au ajira kwenye taasisi nyingine hivyo swala la kuuliza mtumishi ana initiate yeye kama nani hilo sio langu ni kwa mujibu wa sheria na kwenye ya kisheria nimekuonya toka mwanzo acha kuleta soga na vigoma buza hii ni sheria na kuna facts zake FULL STOP

NAENDELEA
Kuna comment moja ulisema kua baada ya kupata kazi kwenye taasisi flani ukaenda ku report na HR ndio akaanza mchakati wa kukuombea kibali na kwamba kwa kipindi chote hicho hukurudi kwenye kituo chako cha zamani (yaan uli report na kuanza kazi moja kwa moja badala ya kurudi kwanza kituo chako cha zamani ili usubiri majibu ya kibali chako cha uhamisho [ ambavyo ndivyo sheria inavyotaka]

Sheria hii hii kifungu cha 7 inasema

7. Mwisho, ninapenda kusisitiza kuwa watumishi ambao maombi yao yatakuwa yamewasilishwa katika ofisi hii wanatakiwa kuwa katika vituo vyao vya kazi wakiendelea kufanya kazi wakati maombi yao yakishughulikiwa badala ya kupoteza muda kufuatilia maombi yao. Barua za uhamisho zitatuma kupitia kwa waajiri wao na katu hawatapewa mkononi.

Mwisho nikwambie tena kwamba usilete story za buza na experience uchwars unapozungumzia au ku refer kwenye mambo ya kisheria ambayo yana taratibu zake. Msomi anatakiwa ku argue na facts sio empty head unauliza eti mtumishi ana initiate kama nani? Haya nimekuletea sheria nime screenshot hapo somaa maana ndo hivyo the empty head is a burden to the body!
Mbona gazeti kubwa ila hamna logic kulingana na swali?:D
Wewe umekurupuka eti lazima uombe mwenyewe ila maelezo unaoka option ya kwanza either ni mwajiri au mtu mwenyewe, logic yako iko wapi? utoto wa kujifunza kingereza kapambaneni Tamisemi .Taasisi kubwa zote wanaomba viongozi wahusika ambao ni HR.

Dogo hujielewi kila sehemu waajiri au mtu mwenyewe, rejea nimekuambiaje kwa mfano wangu ndio maana nakuambia hauna logic ni wale watoto walioajiri juzi .

Muajiri ndio ana haki kubwa kabisa , labda akuambie ila kwanza lazima uombe ushauri kwa waajiri wako :D .Uombe kibali wewe kama nan bila ya kupitia uongozi wa taasisi.​

Basi nikuambie wewe kijana wa Tamisemi, Taasisi kubwa zote wanawaombea watu wao kibali maana hawatumii check number wana mifumo yao ya mishahara sio kutumia check number ,kuna PSF No , TPF No.:D:D

Hizo TPF no na PSF no. huzijui maskini ya mungu sio walimu au kada ya afya uliza ujibiwe, Taasisi kubwa HR wanafanya kazi zao kwa weledi.
 
Mjadala ulikua mzuri,Ila ego zimeuharibu.
Dogo mshamba amejua kingereza juzi hata hajielewi ...Muangalie amedandia comment yangu bila ya kujua mwisho wa siku ni mshamba hamna anachojua.

Rejea comment yangu nikampa mfano wa mimi binafsi ila yeye anataka kujifanya anajua kisa kaanza kugeuza kofia kumbe mshamba , tena wa kiume halafu anachanganya sana kingereza kama vile vidada vinavyovaa miwani chuo.:D:D
 
Mbona gazeti kubwa ila hamna logic kulingana na swali?:D
Wewe umekurupuka eti lazima uombe mwenyewe ila maelezo unaoka option ya kwanza either ni mwajiri au mtu mwenyewe, logic yako iko wapi? utoto wa kujifunza kingereza kapambaneni Tamisemi .Taasisi kubwa zote wanaomba viongozi wahusika ambao ni HR.

Dogo hujielewi kila sehemu waajiri au mtu mwenyewe, rejea nimekuambiaje kwa mfano wangu ndio maana nakuambia hauna logic ni wale watoto walioajiri juzi .

Muajiri ndio ana haki kubwa kabisa , labda akuambie ila kwanza lazima uombe ushauri kwa waajiri wako :D .Uombe kibali wewe kama nan bila ya kupitia uongozi wa taasisi.​

Basi nikuambie wewe kijana wa Tamisemi, Taasisi kubwa zote wanawaombea watu wao kibali maana hawatumii check number wana mifumo yao ya mishahara sio kutumia check number ,kuna PSF No , TPF No.:D:D

Hizo TPF no na PSF no. huzijui maskini ya mungu sio walimu au kada ya afya uliza ujibiwe, Taasisi kubwa HR wanafanya kazi zao kwa weledi.
Sasa we jamaa unajikuta mwamba in fact narudia kusema tena bado ni mshamba na hujui kitu jamaa aliyesema hapo juu kasema a

Narudia tena before hujajibu do some research sasa je wewe ulimuuliza mtoa hoja kutaka kujua kua ameajiriwa Tamisemi au taaisis nyingine inayotumiaPSF au TPF no? Yes kuna taasisi hazitumii check number so I'm asking you si before hujasema atumie njia yako ulipaswa u prove betond doubt? Sasa ukitoaje ushauri pasi nakujua kua unampa msaada au unampoteza? Ndo maana nikasema Logic logic Logic unatoaje ushauri out of Blue mimi nimetoa hivyo kua aandike barua ya kibali au mwajiri wake atamwandikia sababu imnime enda extra mike kujua anafanya kazi wapi na nime attach hizo reference sababu najua mleta maada ana check number so nimetoa ushauri nikilenga hali na mazingira aliyopo mtoa maada so usizungumze mambo ya PSF au TPF number usirudi huko mtoa mada ana Check number na yuko tamisemi hii hoja yako ni upuuzi rudi kwenye mstari sasa haya unasemaje hapo? Una aibika kifala sana ndugu yangu do some research

Halafu mzee kujua kizungu sio kosa kisheria inaonesha jinsi nimetumia ada vizuri kama hujui ni wewe and that's none of my business NB: unapojibu hoja popote pale usi attach personality mfano uka judge kitu kwa race, Gender , Age, ethnicity, Tribe , religion au differences mfano badala ya kujibu hoja iliyoko mezani unasema "unajifanya unajua kingereza hapo nimeona naongea na mtu ambae ni incompetent and you don't deserve my precision time not even once"
 
Kiufupi hata jinsia yako inanipa mashaka mpaka sasa ukiachana na akili mbaya, ulikurupuka ukafikiria unaongea na wajinga wenzio :D :D .

Narudia tena na broke english yako nakumbia kiswahili "Taasisi kubwa zinawaombea watu kibali wao ili waweze kuwapa namba za utambulisho , kama pakitokea query yoyote ile labda majina , vyeti kutofautiana ndio wanakuambia ufanya kitu fulani "

Narudia tena ''Taasisi kubwa zinakuombea zenyewe kibali ili uingie kweny mfumo wao wa malipo hata ishu za bima za NHIF wanafuatilia wao kila kitu ''

Baadhi ya vitu wanavyochukua ili kukuombea kibali ni barua ya uhamisho kutoka utumishi , barua ya kwanza wakati unaajiriwa(offer letter ) na barua ya uthibitisho kazini (confirmation letter) ya taasisi au sehemu uliyotoka, salary slip za awali ili kama mshahara uko chini na viwango vyao basi utapanda kama ni mkubwa utabaki hapo hapo, Vitambulisho vyako haswa NIDA, vyeti . Mengine yale kama kuna mushkeri kweny jina watahitaji Deedpoll au barua ya kuapa.
Bima ya afya na mifumo ya hifadhi za kijamii inakuwa na muendelezo kwa sana kupitia namba zao za kusajiliwa,utaedelea kuchangia kama kawaida hata kama kadi yao ya bima haijakwisha muda uatendelea nayo kama kawaida kwa utambulisho huo huo na makato yataendelea kama kawaida.

kumbuka, Taasisi mpya haiwezi kukupokea na kuanza process mpaka wawe na taarifa kutoka utumishi na Taasisi yako ya awali.

Sasa rejea swali la mtoa mada , huyo haendi Tamisemi ni Taasisi hizi ambazo 90% zina mifumo ya ndani , akaulize kwanza mpaka wamuambie kule.

NB: Hizi ni taratibu za Taasisi kama swali la mtoa mada sio Tamisemi , wanafanya hivyo kwa sababu mambo yao mengi haswa mishahara ni siri sana.
 
Ndugu yangu kuhama kuna pande mbili taasisi inaweza kukuandikia au wewe mwenyewe ukaandika hapa tunasema ku initiate sasa we unapenda ubishi mimi nimeenda Ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi na utawala bora nimeonana na katibu mkuu Dr Juma alinipa utaratibu mzuri kabisa akasema Taasisi yako mpya inaweza ku initiate au wewe mwenyewe uka initiate ikapitia uliko ikaja hapa ukiwa umeambatanisha barua yako mpya ya ajira na vyeti vyako na barua yako ya kuthibitishwa katika utumishi wa umma na mambo hayo yapo kwa mujibu wa sheria transfer inaanzishwa na wewe au na mwajiri mpya mbona nyaraka ziko wazi soma kanuni za utumishi wa umma sio kubisha tu soma PSO piaaa mambo mbona yako wazii na watu wanafanya taratibu hizo na wanatoboa sababu sheria imeelekeza

Acha ubishi
Sorry naomba namba yako inbox kwa ushauri sis wote ni ndugu
 
Back
Top Bottom