Kuongoza watu uliowazidi umri

Huyo uliye mtaja ni nani haswa.
 
Uongozi ni nia au moyo wa mtu Mbali na ujuzi ulionao

Ukiona sehemu Kuna wakongwe tambua dhamira yako ndio imekubeba

So kuwa na adabu na watu Kuna wengine watakuongezea vitu Pasi na hila
Upo sawa
 
Unyooke ,usiwe mtu wa Kona Kona .
Ujuwe wajibu wako,mipaka Yako .
Kama Kuna warembo wafanye kazi kwa kufuata Taratibu

Mabosi weng wanaendekeza warembo ,bint yupo kwake anakupigia simu et siji kaziin.wewe ni bosss sawa
Anaepaswa apewe taarifa frani iwe hivyo kuepuka majungu
 
Acha kudanganya wenzako kijan.
Huwez kuongoza watu tena kazini bila kupendwa halafu ukawa na amani au kuwa control.
 
Una responsibility ya kuwaongoza, lakini usitake kushindana na experience yao, muda mwingi ni wa kujifunza sio kuongea sana.
 
Hongera.

Wewe sio wa kwanza. Mi nilikuwa na 28 tu nilipopewa kitengo cha watu wa aina mbalimbali nikapambana.

Kikubwa kuwa well informed na kazi na mazingira. Kuwa innovative Ili kazi ziwe nyepesi. Delegate Majukumu Yako kwao wewe kuwa mtu wa deliverables then usiogope mtu na usimuonee mtu.

Uongozi si umri, ni hekima tu.
 
Nina mchango mdogo.na mfano.
Jitahidi sana kuwa na hekima unapotekeleza majukumu/kutoa maelekezo.
Kuna ofisi nilienda kutafuta mkate siku mbili hizi,kuna mama mtu mzima zilitokea scenario kama mbili yaani binti mdogo alimtreat vibaya yule mama nikaishia kuumia mimi.
 
Kumpa maelekezo inakuwa shida?
 
Shida inakuja wengine hawafanyi kisa wakuona mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…